Mwenyekiti wa BAVICHA atoa onyo kali kwa viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Igunga

Tatizo la CCM ni wazembe ktk kufikiri nadhani hata hawajishughulishi kuchunguza ya nayo tokea nchi zingine yanasababishwa nanini. Majuto mjukuu,shauri yao wacha walikoroge watalinywa
 
Mie nilisha sema kwamba vurugu zozote na kusababisha uvunjifu wa amani chanzo kitakuwa polisi na CCM yao .Why CCM kuilia na jimbo moja wakati wana majimbo mengi tu na wako wengi Bungeni ?
<br />
<br />

Maneno ya busara Lunyungu, sina 'Like' kwenye simu yangu!
 
Angekuwa si mwanamke msingethubutu nyamafu nyie..
Hao wanaume wenu ndio kabisaa afya gogoro afadhali na huyo DC,wamebaki kuanguka anguka bila kusukumwa na mtu.Wataweza nguvu ya BAVICHA hao?
 
Hao wanaume wenu ndio kabisaa afya gogoro afadhali na huyo DC,wamebaki kuanguka anguka bila kusukumwa na mtu.Wataweza nguvu ya BAVICHA hao?

Nguvu ipi kama lwakatare au? sogelee kwa wanaume moune chamoto..midume mizama kwend akumpiga mwanamama tene mtu mzima alokuzaa ni kukosa adabu na heshima..mwanaume hupigana na wanaume si wanawake ok
 
huyu mwenyekiti anatakiwa awe makini na maneno yake,kwanza kitendo walichomfanyia mkuu wa wilaya ni udhalilishaji,pili hawana adabu vijana walioenda kumtoa maana nilikuwepo eneo la tukio na hawakumtendea haki kumsikiliza kwani alikuwa akijitetea .tatu mtuwekee ushahidi halisi kuwa alikuwa anapanga kuwaingilia uchaguzi wenu?
<br />
<br />
nenda ukasome uko uc2letee ukilaza wako hapa..
 
busara zitumike katika kutatua maamuzi magumu
fujo hazitajenga, tunajua CDM kinapendwa na vijana wengi kiasi kwamba Viongozi wakiwamulisha kufanya vurugu wengi wata kubali kitu ambacho hatuombei kitoee. Tunaomba CDM wawe watulivu zaidi kwani NGUVU ya UMMA ipo nyuma yao " AMENI "

Siombei tufike huko kwani hakuna atakayesalimika. Ila kwa kweli CCM wanaivuruga nchi sana kwa mikakati yao ya kutokubali kushindwa kwa vyovyote. Matokeo yake ni kwamba wanatugawa wananchi. Hivi kwa mfano CCM wakiacha mchakato uwe huru na haki na kwa mfano akashinda CDM, kuna ubaya gani kama uchaguzi utakuwa unakuwa unafanyika kila miaka mitano?. Maana kama mshindi anakuwa ni mbunge wa maisha hapo kuna sababu. Tanzania inaweza kuwa nchi nzuri ya upendo na amani kama kila mtu ataridhika na michakato yote ya kufuata taratibu. Mshindi wa halali ataungwa mkono hata na wasiompigia kura, ila wa kulazimisha anakuwa mtumwa wa waliomuweka kwa nguvu madarakani badala ya kutumikia wananchi.

Mimi ningekuwa ni strategist wa CCM nisingefanya sana uhuni kwenye chaguzi za ubunge. Waache watu wachague something else then after 5 years unakuja kuwauliza " Are you better off today than you were 5 years ago?", kama jibu ni hapana unakuwa kwenye position nzuri ya kushinda wewe. Ila CCM hili hawalioni, watendaji wao kwao wao kazi nzuri ni kutetea jimbo kwa VYOVYOTE bila kujua kuwa wanaiangamiza na kuigawa nchi.
 
BAVICHA inaonekana kuwa ni kichaka cha wahuni watumia majani ya ja...ca.Kwa kauli za mwenyekiti wa umoja huo ni dhahiri atakayefuatia kudundwa ni katibu wa chama chao.Watamdunda wao wenyewe,maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Hiki ni chama cha kutangaza vita? hata vitabu vya dini vinasema watiini walioko kwenye mamalaka!
 
BAVICHA, huu ni wakati mwafaka kuwalinda na kuwatetea Wana-Igunga kutokuzulumiwa hadi na haki zao za ndoa kwa rushwa ya pishi zito la ubwabwa kwa siku moja tu. CCM kisiruhusiwe kuwekeza zaidi kwenye ujinga na umasikini wetu kiasi hiki.
 
Hongera Heche,hawa wamezoea hawajui tumesha choka,upuuzi huo wala hatuko tayari tena tena mi siwapendi sana hata hao polisi wao kwani ni wanafiki,Nauliza tena alipopigwa OCD maswa na huyu fisadi Robert alienunua UDA hatua gani zilichukuliwa dhidi ya Robert?hii ndio picha ambayo polisi wanatakiwa waiangalie,wajue wanavyotumiwa na CCM wanaongeza ugumu wa kazi yao.
Tuko nyuma yako kamanda
 
kabla ya kushabikia saaana.....just imejini ndo angekuwa mama yako mzazi kadhalilishwa vile ungejisikiaje (no matter ni mchawi malaya n.k na unajua)? chukulia kwamba ndo unarudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani unakuta ur mom anafanyiwa kile alichofanyiwa dc ungechukua hatua gani? hapa ndipo ninapoanza kuamini taasisi kama TGNP ni vyama vya kisiasa zaidi kuliko vile wanavyojipambanua.....coz kama ingefanywa na ccm lazima wangelaani sana.akina mama wa Tanzania mnatakiwa kulaani vikali udhalilishaji huu coz mkinyamaza kesho hawa wahuni wataanzisha vita na watawabaka na kuwadhalilisha kwa kadri wawezavyo! nina ombi kwa viongozi wa cdm, pls tupo wengi ambao tunatamani kuona mnakamata dola lakini kwa matukio kama haya yanatufanya tuhoji uwezo wenu wa kusimamia sheria pa1 na haki za kibinadamu. is this the way u r going to treat wavunjaji wa sheria? pls jitengeni na uovu huu..........
 
Aisee! kweli watu wamechoka dhulma, sina hofu na kauli ya Heche bali wasi wasi wangu upo kwa magamba na vyombo vyake vya dola je watakubali kuacha utamaduni wao wa kuchakachua?


Naunga mkono kauli ya Heche, japo sipendi vurugu na uvunjivu wa amani..... Ila tukumbuke uvunjivu wa amani unaanza pale unapo mnyima mtu haki yake. hivyo yule anayepokonya haki ya mtu ni ndiye mvujifu wa amani na siyo yule mdai haki yake...

Jeshi la polisi na CCM yake wanataka watudhulumu haki yetu then tuwabembeleze au kuwapigia magoti aaah! hii kitu imepitwa na wakati kilichopo sasa hivi ni ku-deal nao tu kama alivyo sema kamanda Heche.
 
ccm si manataka evidences za kwanini DC alitolewa kwa ustaharabu jana katika tukio huko Igunga. Kikwete sikiliza hayo maneno na zaidi na mimi kama mwanachama wa cdm naongeza hivi....

Tunisia, Egypt, Libya wananchi wamefanya huu mwito tangu miaka ya 80's wakitaka kuacha demokrasia za nchi zao ziachiwe chini ya wananchi na nimeona tangu maika 50 sasa ccm hamkomi na masikio hayasikii. Tutawachapa na kuwashughurikia vizuri sana. Onyo kali tunatoa na mkuu wa mkoa na wilaya hawa makada wenu tutanza nao ... Igunga ni ya wananchi wenyewe hawaitaki tena ccm, ushahidi gani manataka? Nani anataka kuongozwa na majambazi wenu na kuendelea kubadilishana mashati kila siku?

Wananchi wa Igunga tunakuja na tunawasihi wananchi kote Tanzania mfike cdm Igunga kuhakikisha tunalinda campaign zetu kama tulivyofanya Ubungo, Kawe, Mbeya na sehemu nyingi tulizoshinda.

This is a tipping point for wahuni ccm, touch us you will see and test ....
 
Ni jukumu la kila kijana kulinda kura Igunga kusiporwe. Mabadiliko hayanyeshi kama mvua hivyo ni sharti kujitolea.
 
Back
Top Bottom