Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa aimwagia sifa CHADEMA:

inafurahisha sana...na hii ni changamoto kubwa sana kwa sasa kwamba wapinzani wanaweza kuwa na nguvu moja kwa kuwa support wale ambao wameonyesha genuine and effective efforts katika kuleta mabadiliko

what i can say is... makaidi ... still you have time to make our country a healthy and happy nation
 
Back
Top Bottom