Mwenyekiti / Spika bungeni anapogawa "maksi"

MAKAH

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,582
265
Nijuzeni jamani ni sawa / halali spika au mwenyekiti kutoa " maksi" kwa mtoa swali au mtoa jibu katika mijadala ya bungeni. Mfano hasante kwa swali zuri sana au sawasawa hasante kwa jibu zuri au tafadhali jibu kiusahihi n.k. Je muuliza swali atajibuje au mtoa jibu ata- react vipi. Spika ni hakimu au ni refa. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom