Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

Vijana wa CDM msidanganyike, nendeni mkaandae kata na majimbo mahali popote nchini ili jimbo liwe limeiva tayari kwa uchaguzi. CDM hatugombani na mtu. jimbo lolote lisilo na mbunge wetu jiandae kugombea.
 
Back
Top Bottom