nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Kwa kituko alichofanya chagulani,hawa vijana si wa kuwaamini tena
Ningefurahi kama ungemwambia straight Zitto maneno haya kipindi analeta hoja za Urais lakini hukusema wala kuandika chochote zaidi ya kumtetea sana tu alafu leo unakuja eti kuwafunza vijana! alafu elimu yenyewe inatolewa na wewe!
Hoj ni nzuri,mleta mada yuko sahihi,kwa mtu mwenye kuitakia mema CHADEMA lazima aseme kile anachokiona ni kibaya na kinainyemelea.Uongozi wowote unaokubali kukosolewa kwa dhati ndo mzuri.
Nasema upuuzi wa vijana wa ndani ya chama umekua kiasi kwamba hawajitambui tena, naona katika mitandao wanakesha wakiwaza uchaguzi tu, uchaguzi wa ubunge, udiwani, urais na ndani ya chama, ni sahihi kabisa kwa mwanachama kuwa na malengo ya kuwa kiongozi hata mimi lengo langu kubwa ni kuwa kiongozi wa kisiasa kama nilivyo huku katika idara yangu ya utumishi.
Ila ukweli ni kwamba kwa sasa vijana wengi wa chama chetu kutwa kucha wanajadili nani awe mwenyekti wa chama na nani awe mgombea ubunge eneo fulani. Hali hii imewapelekea wawe watu wasio na upeo wa kutafakari mambo na kuchambua hoja, wamelegea na kuridhika na upepo wa kisiasa uliopo na kuiona ikulu au ukumbi wa bunge kabla ya uchaguzi miaka 3 mbele.
Ni hatari sana hii, nawaona wengi mitaani na kwenye mitandao na wengine wakianza kutangaza nia hadharani, hali inayopelekea kuishiwa uwezo wao wa kufikiri na kuwa masanamu yanasubiri kulaani tu na kutoa matamko au vitisho kwa jeshi la polisi na kwa viongozi wa serikali...
hata ndani ya mtando huu na mingine kuna hao masanamu wanadhani wao wanahaki zaidi ya wanachama wengine, wanataja majina ya wagombea urais na uwenyekti wa chama ni upumbavu mtupu na kuishiwa uwezo wa kufukiri, kuwataja watu kuwa watawania nafasi fulani ni kuhamisha nia ya pamoja ya kushughulika na chama kwanza kukiimarisha..wao wamekuwa majuha wa kuwaza mitafaruku tu.
Watu wapuuzi huwaza upuuzi mara zote,wapuuzi hawa huwatafuta wapuuzi wenzao kwa gaharama yoyote ili wajadili upuuzi wao, usifungwe katika genge la kujadili upuuzi.
Huoni hata aibu unaposhambulia watu real wakati wewe ukiwa na fake ID, yaani wewe ni fake kwenye kila ulichonacho na unachosema.
Huyu hapa ni Grayson M Nyakarungu na mwingine ni Zuberi Z Kabwe, lakini wewe unakuja hapa na fake ID eti MTAZAMO na kupoteza muda mwingi kushambulia watu wa ukweli.
Najua ujasiri wako wa kushambulia hauendi mbali zaidi ya nyuma ya keybord yako hivyo huna madhara, just like a barking toothless dog!.
Alichokisema Nyakarungu ni cha ukweli na cha msingi sana, lakini kwa kilaza kama wewe uliyeghubikwa na chuki na ubaguzi hayatakuingia akili, labda yawe yametamkwa na mtu toka mlimani.
Umejuaje kuwa kila mchangiaji hapa JF anayetaja "majina ya urais na uwenyekiti wa chama" ni kijana au mwanachama wa Chadema??
Umejuaje ?? maana wachangiaji wengi humu wanatumia majina bandia au nick-names.
Kwa hiyo, kwa uelewa wako wewe, kila mchangiaji, akitaja tu kuhusu urais na uenyekiti wa Chadema, basi mchangiaji huyo ni 'kijana' wa Chadema !!
Umeandika maneno kama "upuuzi, masanamu, n.k". Sasa sijui kama ulikuwa unajiongelea wewe mwenyewe au ulikuwa unaongelea hao 'vijana' !!
Duh, kweli kazi ipo hapa JF.
mkuu kumbe sisi tunaopewa kadi kwenye maandamano na mikutano hatuna thamanI? nilikua sijui, asante kwa kunijulisha.Power mongering.
Power lust.
Kiarusha hawa tunaita wasoma ramani. Fikra zao zinawatuma kuwa with the coming elections and the fate of cdm, huenda wakapiga bao...upumbavu huu!
Ukitazama so far wanakifanyia nini chama utakuta hawana lolote zaidi ya kuwa na kadi ya chama iliyotolewa kwa mtindo wa papo kwa papo!
Hata cdm ikikamata dola kesho, watakaoiua na kuisababishia iondolewe ni hawahawa, maana hawana cha kudeliver.
Wizi mtupu!!
mkuu kumbe sisi tunaopewa kadi kwenye maandamano na mikutano hatuna thamanI? nilikua sijui, asante kwa kunijulisha.
Ni makosa kwa Chama cha siasa kuchukuwa Wanachama wa papo kwa papo. mimi sina kadi ya Chadema lakini ni zaidi ya hao wanachama kwa sababu nipo kiitikadi zaidi, na ukiwa na itikadi wala huwezi kusubili papo kwa papo bali utatafuta ofisi zilipo na utajiandikisha uanachama.
Nyakarungu asiwapeni taabu sana ana tatizo dogo sana kuliko mnavyofikiri! tatizo lake ni kwamba siku nyingi sana hajala vimolo! unajua kwetu usipopata vimolo angalau mara moja kwa miezi sita watu wanaweza wakawa hawakuelewielewi! hili tatizo kwetu huwa linajulikana kama UPUNGUFU WA VIMOLO DAMUNI yaani UVIDA. Poti nyakarungu tuwasiliane haraka nikupe vimolo nimetoka foti majuzi ninavvyo vya kutosha!Ningefurahi kama ungemwambia straight Zitto maneno haya kipindi analeta hoja za Urais lakini hukusema wala kuandika chochote zaidi ya kumtetea sana tu alafu leo unakuja eti kuwafunza vijana! alafu elimu yenyewe inatolewa na wewe!
Huoni hata aibu unaposhambulia watu real wakati wewe ukiwa na fake ID, yaani wewe ni fake kwenye kila ulichonacho na unachosema.
Huyu hapa ni Grayson M Nyakarungu na mwingine ni Zuberi Z Kabwe, lakini wewe unakuja hapa na fake ID eti MTAZAMO na kupoteza muda mwingi kushambulia watu wa ukweli.
Najua ujasiri wako wa kushambulia hauendi mbali zaidi ya nyuma ya keybord yako hivyo huna madhara, just like a barking toothless dog!.
Alichokisema Nyakarungu ni cha ukweli na cha msingi sana, lakini kwa kilaza kama wewe uliyeghubikwa na chuki na ubaguzi hayatakuingia akili, labda yawe yametamkwa na mtu toka mlimani.