Mwenyekiti CCM avuliwa uanachama

kibakwe

Senior Member
May 10, 2011
171
22
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora kimemvua uanachama wa chama hicho Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Gongani, Bi. Rajia Mrisho huku kikimwondoa
Bw. Emmanuel Kasoga katika nafasi ya Katibu Kata CCM, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Tabora Bw. Hasasn Wakasuvi alisema kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa na makada hao.

Alisema kuwa hatua hiyo ilifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mkoa baada ya kubaini ukiukwaji wa maadili ya chama wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.

Alisema kuwa chama hicho kamwe hakitaona haya kumwajibisha mwanachama ambaye atakiuka taratibu na kanuni za chama kama zilivyoainishwa kwenye katiba yake.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo hakuweza
“Ndugu zangu wanahabari mengine haya ni siri ya chama kwa hiyo siwezi kuwaeleza zaidi nini hasa kimesababisha watu hawa kuchukuliwa hatua hizi," alisema.

Hata hivyo habari za uhakika kutoka ndani ya chama hicho zinasema kwamba viongozi hao walikihujumu chama wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
 
hahaaaa nilifikiri mwenyekiti wa taifa ndo kavuliwa uanachama kumbe wa serikali ya mtaaa...CCM bana
 
hahaaaa nilifikiri mwenyekiti wa taifa ndo kavuliwa uanachama kumbe wa serikali ya mtaaa...CCM bana

yaani we acha tu, hiki chama kinachekesha....walichofanya ni kama vile mtu anaumwa tumbo tena la kuharisha badala ya kumpeleka msalani na kisha kumpa dawa, mnampeleka saluni kunyoa nywele.
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora kimemvua uanachama wa chama hicho Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Gongani, Bi. Rajia Mrisho huku kikimwondoa
Bw. Emmanuel Kasoga katika nafasi ya Katibu Kata CCM, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Tabora Bw. Hasasn Wakasuvi alisema kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa na makada hao.

Alisema kuwa hatua hiyo ilifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mkoa baada ya kubaini ukiukwaji wa maadili ya chama wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.

Alisema kuwa chama hicho kamwe hakitaona haya kumwajibisha mwanachama ambaye atakiuka taratibu na kanuni za chama kama zilivyoainishwa kwenye katiba yake.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo hakuweza
"Ndugu zangu wanahabari mengine haya ni siri ya chama kwa hiyo siwezi kuwaeleza zaidi nini hasa kimesababisha watu hawa kuchukuliwa hatua hizi," alisema.

Hata hivyo habari za uhakika kutoka ndani ya chama hicho zinasema kwamba viongozi hao walikihujumu chama wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.

Mbona wako wengi tu wakuondolewa, mfano Ubungo Msewe?:peep:
 
Wakati wa uchaguzi, viongozi wa ccm walijibainisha wazi kabisa. Wengi hawana mpango na chama, wapokuchumia matumbo yao. CHA MGEMA HUNYWEWA NA MLEVI
 
chama cha mapinduzi (ccm) mkoani tabora kimemvua uanachama wa chama hicho mwenyekiti wa serikali ya mtaa gongani, bi. Rajia mrisho huku kikimwondoa
bw. Emmanuel kasoga katika nafasi ya katibu kata ccm, kata ya bukumbi wilayani uyui.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, mwenyekiti wa ccm, mkoa wa tabora bw. Hasasn wakasuvi alisema kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa na makada hao.

Alisema kuwa hatua hiyo ilifikiwa katika kikao cha halmashauri kuu ya ccm mkoa baada ya kubaini ukiukwaji wa maadili ya chama wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.

Alisema kuwa chama hicho kamwe hakitaona haya kumwajibisha mwanachama ambaye atakiuka taratibu na kanuni za chama kama zilivyoainishwa kwenye katiba yake.

Hata hivyo mwenyekiti huyo hakuweza
“ndugu zangu wanahabari mengine haya ni siri ya chama kwa hiyo siwezi kuwaeleza zaidi nini hasa kimesababisha watu hawa kuchukuliwa hatua hizi," alisema.

Hata hivyo habari za uhakika kutoka ndani ya chama hicho zinasema kwamba viongozi hao walikihujumu chama wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.

wame mwonea bure tu mbona watovu wa nidhamu wako wengi na hawajafanywa chochote? Mzee mkubwa mwenyewe ni mtovu wa nidhamu. Wakina nape walio anzisha chama ndani ya chama c watovu wa nidhamu? Mafisadi wakina mapacha watatu c watovu wa nidhamu?
 
Bora umetoka mapema richama rimeshakufa hiro.....karibu UMD mamii...
 
magamba, magamba,magamba,magamba,magamba,magamba,magamba,magamba,magammagamba,ba,magamba,magamba,magamba,
 
Safi sana nafikiri siku 90 zimeshapita.
Sasa JF tuache kuchonga,si tumeona gamba limeshatoka?
Au tunataka nani tena atolewe?
CCM HOYEE.
 
Back
Top Bottom