Mwenyekiti BAVICHA Kinondoni na wizi wa mitihani.

Sms ya hawa hii hapa akimtongoza ben tarehe 28/06/2012,saa 22:34:21
Nainukuu:
Kama una uhakika sawa.iwe siri yetu anyways.inaonekana sisi wakina hawa hatuwezi kupata na.sasa nimechoka tuonane kesho hb(handsome boy) wa chadema.
Hii hapa hawa akimjibu ben katika harakati zake zakumuwunda ambapo ben alimuuliza kama hawa ameshawahi kumuandika ben vibaya mtandaoni.
Hawa akajibu nanukuu:
Sijawahi ingawa kuna mda nililazimika na nitakueleza ben.roho iliniuma sana baada ya hapo kwakuwa hisia zangu hazikuruhusu niliyoyafanya na juu yako kuna jambo.usiku mwema hb.
My take:nafurahi umekuja mwenyewe na huu ni mwanzo tu ziko sms mbaya zaidi nadhani unajua maneno uliyokuwa ukimtongozea ben yalivyo ya aibu kwa mtu mzima kama wewe kuyaandika.
Kwa leo nimeyastahi,nimeyaacha kiporo.
Acha kupanic wewe jibu hoja zilizoko mezani.
Nafsi yako inakusuta kwa haya maana ni kweli tupu.
Poleeeeeeeeeeeeeeeeee!
This is just a tip of an iceberg.

Duuu! mbona mnaelekea nisiko maanisha naomba mrudi kwenye mada ya wizi wa mitihani.
 
Halafu nasikia huyo mama anasoma foundation halafu anadanganya watu kuwa anasoma degree.
Hopeless!
Kama ameanza kuingia na nondo kwenye foundation level ataiweza degree kweli huyu.
Kaaaazi kwelikweli!
Pole lakini maana hakuna aibu kama kujamatwa na nondo darasani.
Kilaza@work!
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Swali ni je ulishikwa hukushikwa?jibu ili ukibisha mleta mada atoe ushahidi.
Mtoa mada tafadhali naomba uthibitishe haya.
 
Tumaini University watu wanafanyiwa paper kabisa,

Nashauri kwakweli utumike utaratibu mzuri wa kuhakiki mitihani

Kwa wanaokumbuka wazee wa FoE enzi hizo jamaa aliingia na Desa sasa teacher kaona anapanda juu huko lecture theatre jamaa anatafuna by the time kamfikia, jamaa kameza kisha anamuuliza vipi ?? Huku kakunja ndita!!

Muda huo kwa spidi ya kimondo karatasi kadhaa zinabadilishwa ( esp fomula(sp) )
 
Swali ni je ulishikwa hukushikwa?jibu ili ukibisha mleta mada atoe ushahidi.
Mtoa mada tafadhali naomba uthibitishe haya.

Mimi ninaushahidi wa sauti akiwa anajitetea,mtihani wake ukiwa umeambatanishwa na honda pia hata barua ya maelezo ya kujitetea ninayo: source Utawala.
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Hahahaaaa!sawa sawa mjaa honda a.k.a nondo
 
Tumaini University watu wanafanyiwa paper kabisa,

Nashauri kwakweli utumike utaratibu mzuri wa kuhakiki mitihani

Kwa wanaokumbuka wazee wa FoE enzi hizo jamaa aliingia na Desa sasa teacher kaona anapanda juu huko lecture theatre jamaa anatafuna by the time kamfikia, jamaa kameza kisha anamuuliza vipi ?? Huku kakunja ndita!!

Muda huo kwa spidi ya kimondo karatasi kadhaa zinabadilishwa ( esp fomula(sp) )

Huyu dada alishindwa kufanya hio issue.
 
Huyu dada alishindwa kufanya hivyo duu dada alitia huruma siku ile.
 
Toeni kwanza kwenye chama wezi wa EPA, Kagoda, Meremeta, Deep Green n.k. ndipo mdai CDM wawatoe wanaogilizia kwenye test!!
 
Nilipoona title nilidhani ameiba mtihani, kumbe alikuwa anacheat ndani ya chumba cha mtihani!
 
Mwizi ni mwizi kama anafanya hivyoakiwa hajapata madaraka vp akipata itakuaje?
Huyo si mwizi alikuwa anatumia mbinu za medani kupambana na adui. jeshini wizi, uongo ni sehemu ya mafunzo. mathalani mpo front platoon imepungukiwa zana au chakula, askari mmoja akifanikiwa kuingia kambi ya maadui na kubeba chakula kwa ajili ya kuwasaidia wapiganaji wengine ataitwa shujaa. uongo ruksa( umetekwa na maadui wanakuuliza kikosi chenu kina vifaru{scorpion}vingapi? lazima udanganye kuokoa jahazi. NIMEELEWEKA NINAMAANISHA NN.:lying:
 
She is only human and tanzanian too. Ufisadi hauna dini, itikadi za chama au otherwise.
Hata humu ndani kuna watu ambao wanachukia ufisadi kweli kweli lakini baadhi yao [ambao nawafahamu] ni wachafu tena sana tu na kuna wengine wanalalamika kutokana na frustration tu.
 
Back
Top Bottom