Mwenyekiti BAVICHA Kinondoni na wizi wa mitihani.

Halafu si ndio huyu huyu mtu mzima aliemganda kamanda kijana mnyika kama luba?
Mnyika akamtosa akaanza kumsarandia ben saanane kwa sifa kedekede,nakumuahidi kumpa chochote atakacho?si ndio huyu?

Nasikia hivyo ila sina uhakika ila nachojua mimi kwa sana anaishi na mnywa viroba ally bananga.
 
Mkuu yani hata habari za darasani sekondary mnazileta humu kwa GT!

Basi nadhani kesho mtakuja na habari za kiongozi wa BAVICHA alitoroka shule na pia hakuandika notes za mwalimu.

Teh teh teh teh....................!

Chadema hailuhusu aina yeyote wa ufisadi hata wizi wa mitihani kama dada hawa mwaifunga alivyofanya.
 
Huyo mmama (kikongwe)ndo yule aliyemuweka kinyumba kijana aitwae ally bananga nyumbani kwake vijana kinondoni karibu na komakoma?
najua ni kilaza mzuri ila sikujua kwamba ni kwa kiasi hiki.
acha umbea au unatafuta bwana JF
 
kwani yeye ni wa kwanza? kuna vilazi wengi tu wanakamatwa na fantomu, desa, simbi etc hizo ni issue personal hatuwezi kuzielezea kwa mapana yeye kama yeye ndie anajua
 
Pole sana mwamvuli naona wamekuban naona ulikuwa na detail nyingi sana za kamanda.
 
Kwa jinsi watu wanavyotoa maaoni its clear that mashindano ya kisiasa tunayoshuhudia nchini hayalengi kuikomboa nchi...
 
Mie nilijua kaiba mitihani ya NECTA, kumbe amekamtwa na phantom? Hakuna mwanachuo asiyefanya hayo makito kama wapo hawazidi 1% bahati mbaya kwake tu wamemkamata!!
 
Pale open university ndio viongozi wengi wamepata degree akiwemo aliyekuwa rais wa Zanzibar Amani Karume lakini ndio panaongoza kwa kutoa matokeo yenye utata kitu ambacho mkuu wa chuo hicho Profesa Mbwete alikiri na kusema walifukuza hadi watu wa It kwa kushiriki kubadili alama za wanafunzi kwa upendeleo kwa kushirikiana na waadhiri swala hili haliwahusu cdm bali watanzania wote angalia sasa hivi cv za wanasiasa wengi wamesomea pale
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu
 
Katika hali ya kusikitisha mwenyekiti wa bavicha mkoa wa kinondoni na mhasibu msaidizi makao makuu chadema ambaye alitambuliwa kwa jina la Hawa mwaifunga amekamatwa na honda(nondo ya kutizamia) au desa kwa lugha ya chuo akiwandani ya chumba cha mtihani pale open university(kinondoni) hali iliyompelekea kusimamishwa masomo kwa muda usiojulikana.

source:Notesboard ya open university(kinondoni).
mvini??
hizi ni personal issuez haziusiani na BAVICHA,,, siku ukisikia mwenyekiti wako wa chama katembea na mke wa mtu utaileta jamvini??
 
Duu kukutwa na kibomu kwenye mtihani ni minor mistake kweli we hamnazo?!.angekutwa kiongozi wa ccm au cuf ungesema ni minor mistakes?
tungesema ni kubwa sana na tungechangia kwa mbwembwe...... speak out your mind.....
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Ni bora umekuja mwenyewe vp chuo unaendelea au vp?
Kama unawadanganya watu kwamba hukukutwa na honda naomba ujibu ili tukuwekee hapa ushahidi.
 
mvini??
hizi ni personal issuez haziusiani na BAVICHA,,, siku ukisikia mwenyekiti wako wa chama katembea na mke wa mtu utaileta jamvini??

Mbona simbachawene mlisema kakatwa mapanga kwa kufumwa na mke wa mtu na mkaweka mpaka kwenye magazeti yetu na inasemekana alio itoa ni mwanahabari wetu aliewekwa na mnyika ndugu tumaini makene.
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Ujumbe umekufikia na hilo ndio lengo la jf kwa mafisadi wa elimu.
 
Mbona simbachawene mlisema kakatwa mapanga kwa kufumwa na mke wa mtu na mkaweka mpaka kwenye magazeti yetu na inasemekana alio itoa ni mwanahabari wetu aliewekwa na mnyika ndugu tumaini makene.
hayo ya tumaini makene kuwekwa na mnyika unayasema wewe mkuu....anyway karibu sana JF
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Sms ya hawa hii hapa akimtongoza ben tarehe 28/06/2012,saa 22:34:21
Nainukuu:
Kama una uhakika sawa.iwe siri yetu anyways.inaonekana sisi wakina hawa hatuwezi kupata na.sasa nimechoka tuonane kesho hb(handsome boy) wa chadema.
Hii hapa hawa akimjibu ben katika harakati zake zakumuwunda ambapo ben alimuuliza kama hawa ameshawahi kumuandika ben vibaya mtandaoni.
Hawa akajibu nanukuu:
Sijawahi ingawa kuna mda nililazimika na nitakueleza ben.roho iliniuma sana baada ya hapo kwakuwa hisia zangu hazikuruhusu niliyoyafanya na juu yako kuna jambo.usiku mwema hb.
My take:nafurahi umekuja mwenyewe na huu ni mwanzo tu ziko sms mbaya zaidi nadhani unajua maneno uliyokuwa ukimtongozea ben yalivyo ya aibu kwa mtu mzima kama wewe kuyaandika.
Kwa leo nimeyastahi,nimeyaacha kiporo.
Acha kupanic wewe jibu hoja zilizoko mezani.
Nafsi yako inakusuta kwa haya maana ni kweli tupu.
Poleeeeeeeeeeeeeeeeee!
This is just a tip of an iceberg.
 
Acheni mambo ya kishamba,Mimi nipo hapa openi hatuna utaratibu Kama huo na haijawahi tokea kitu Kama icho,muogopeni mungu waja walaana,naona mmejiita waasi mmeanza kuasi kweli,uyo saanane wenu atamchakaza uyouyo Juliana wenu,wanaume wazima tabia za kike,mnatia kichefuchefu

Muhusika mwenyewe@work
 
Back
Top Bottom