Mwenye uwezo wa kutatua mgogoro wa ma Dk ni Lowassa pekee!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Mwenye uwezo wa kutatua huu mgogoro wa ma dk ni Lowassa pekee ndie mwenye kuongea nao
hao jamaa na wakamueelewa more info to come
subirini soon wanarudi kazini
 
Yaap hata mimi naamini ana uwezo wa kutatua mgomo wa madaktari kwa kuwahonga PESA ZAKE CHAFU kama anavyowahonga watu wampambe na kumsifia huku kwenye JF...!
 
Mwenye uwezo wa kutatua huu mgogoro wa ma dk ni Lowassa pekee ndie mwenye kuongea nao
hao jamaa na wakamueelewa more info to come
subirini soon wanarudi kazini

katibu kwanza vistula inayokusumbua mpuuzi wewe, migogoro hii yote si kaikuta na kashindwa kuitatua huyo mpuuzi mwenzio???? u seems to be cheap eh? are u looking for husband? f''''''k! usituleteee tena ujinga wako!
 
Nyambafu mkubwa,mwache rais wetu mtarajiwa aandalie program zake

mwiko kuanzia leo, uchaguzi ujao kamwe hatutakubali kuongozwa na mgonjwa, fisadi na mwizi, madhara yake tumeyaona na tumechoka sasa!pole sana wanaojiuza!kiongozi mzuri anajiuza sio wa kujitembeza na kuhonga mijiela yetu aliyoiba!fara mkubwa huyu na wewe pimbi unayempigia chapuo mwizi!hata wewe ni mwizi pia ila muda wenu umeisha!
 
utatuzi wa mgogoro huu ni serikali kukaa chini na kuwasikiliza wanataka nini na kwa sababu gani,na kwa nini inawezekana.ni lazima serikali ikanegotiate na madaktari.kuwawajibisha wale watatu sio jambo gumu.kuahidi mazingira bora ya kazi sio jambo gumu,kutoa gree cards inawezekana.kuahidi kuingiza kwenye bajeti ongezeko la mishahara na marupurupu ni jambo jepesi.
lakini kwa kuwa serikali yetu imejaa watu wenye viburi bila kutambua wananchi inaowaongoza ni viburi plus plus basi itaendelea kupima upepo na kupiga propaganda.
 
Tutaongeaa weeee mh lowasa ndio soln ya haya matatizo
 
Back
Top Bottom