Mwenye Used Computer mwanza!

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Plz kuna jamaa yangu yupo mwanza anatafuta used computer inayo range laki 3 hadi laki 3.5...specification kama ni Desktop: Hdd 120GB au above,Monitor Hp 17". Kama ni laptop iwe ni Hp/dell hata kama itakuwa na hard disk pungufu. But kama kuna m2 anayo naomba uniambie ili kama ulipo then jamaa aje kuchukua. Pia kama kuna maduka yanauza kwa bei hizo naomba unijulishe ili ni mwelekeze ni wapi.
 
Back
Top Bottom