Mwenye ufahamu, naomba anifahamishe

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
Nimekuta post kwenye Michuzi blog kwamba Meya wa Ilala Jerry Slaa a.k.a ''Dogo Janja'' kwamba amekabidhiwa Uraia wa heshima wa jiji la bozeman, Montana, Marekani. Nimeshindwa kuelewa hii ina maana gani!!:disapointed:.. ina maana ana Urai wa nchi mbili..au sio Mtanzania kabisa tunaongozwa na mmarekani? na hiyo Heshima amepewa kwa kufanya jambo gani?

Bonyeza hapa


Najua kuna wale wengine mtakulupuka, ila mimi natumia haki yangu ya msingi.
 
Kunakuwa na urafiki baina ya miji Duniani na viongozi wake hupeana heshima ya uraia wa miji hiyo. Sio uraia wa nchi.
 
Kwa sasa TZ hamna sheria inayoruhusu kuwa na uraia wa nchi 2
 
Back
Top Bottom