Waziri Mkuu Pinda alisema ingekuwa chini ya uwezo wake angefukuzwa kazi. Watanzania wengi walifikiri kuwa baada ya mkuu kutoka Afrika kusini huyu jamaa angestaafishwa kwa manufaa ya umma. Lakini nasikia tetesi kuwa mkulu aliporudi alimripukia Pinda kuwa nani kampa ruhusa ya kusema maneno kama hayo hadharani na kumwuuliza kuwa hajui huu utaratibu wa kusambaza bahasha bungeni wakati wa bajeti umekuwepo muda mrefu? Ndio ukasukwa mpango wa kumpumzisha kwa malipo wakati zoezi la kumsafisha likifanywa na CAG.
Jairo is innocent.
Acount ya GST haijui hata bilioni ikoje, sana sana wakipata wanapata mil 500.
Ukiibua kashfa, jiandae, siyo kukurupuka, sometimes mtu anamakosa kweli lakini kukurupuka kwako wampa faida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.