Mwenye taarifa ya majina ya sensa kata ya kawe, Makongo na Ubungo.

Marsy

Member
Dec 14, 2011
47
7
wakuu naomba kuuliza aliye na taarifa ya majina ya sensa kata hizo ambazo 2lishafanya usail alh 2julishane wakuu isije ika2pita man nilisikia tetesi kuwa watatoa leo.Msaada kwa hilo plz.
 
mkuu,kwa kata ya kawe hata mimi nilifanya usaili hapo na wakasema majina yatatoka leo lakini tumefika pale asubuhi na mapema wakasema tusubili majina yabandikwe lkn tumekaa pale hadi saa sita mchana hawajabandika tukaondoka.kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba wanasubiri majina ya walimu yatoke manispaa ili yabandikwe yote kwa wakati mmoja.ila majina tayari yapo ofsi ya mtendaji wa kata.nafikiri utakuwa umeelewa japo kwa ufupi.na semina inaanza alhamisi tar.09/08/2012
 
Mkuu samahani mimi ndiyo natarajia kwenda kwenye usaili,naomba A-Z juu ya usaili
wakuu naomba kuuliza aliye na taarifa ya majina ya sensa kata hizo ambazo 2lishafanya usail alh 2julishane wakuu isije ika2pita man nilisikia tetesi kuwa watatoa leo.Msaada kwa hilo plz.
 
Back
Top Bottom