Mwenye taarifa ya kuitwa kazini tume ya utumishi wa mahakama

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Habari wana JF, naomba kujua kwa anayejua ni lini wataita watu kazini maana muda umepita tokea may mpaka Leo wapo kimya. Zaidi wametoa kazi nyingine za mahakimu 300 ukimya wao unaweza fanya watu kua apply mara mbili.

Pia inabidi wahusika wawe makini sana kwa kuchelewa kutoa majibu hali wakijua kuwapata watu wenye vigezo walivyoitaji kwa mahakimu si rahisi sana.

Wengine wanaweza kughairi na kuomba nafasi nyingine kama zile za AGC NA CMA.

Mwenye taarifa tafadhali.
 
Back
Top Bottom