Mwenye taarifa usahili PCCB

Mkomawatu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
267
118
Habari za leo wanaukumbi wa Jamii forum.Natumia fursa hii kuuliza kama kuna wadau wenye taarifa kuhusu nafasi za kazi tulizoomba PCCB.Tafadhali naomba tufunguke wadau.
 
I know nothing coz hawajasema kitu wahusika...lakini ngoja ma intelejensia waje,,,utawasikia tu subili kidogo.
 
Hii nimeipata leo kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba applications ambazo zimeshafika PCCB NI MORE THAN 46,000, ajira ni mtihani ndugu zangu na bado wenye vimemo hapo.
 
Shortlist ndio inaandaliwa majina yatatoka baada ya sikukuu kupita means january

Kwenye mambo ya ajira inatakiwa uvumilivu wa hali ya juu, na siku zote subira ya vuta heri, kama Mungu kakuweka panapostahili utapata tu, usimtegemee mwanadamu maana yupo aliye juu hata pawe na vimemo zaidi ya applicants kama utainuliwa na alie juu vimemo ni nothing kwakweliiiiii
 
taarifa ni kwamba interview itakuwa mwezi wa pili na watakao kuwa considered zaidi ni wale waliopita j.k.t na pia kuna internal workers waliojiendeleza wananafasi zao pale...ila tungoje tuone
 
taarifa ni kwamba interview itakuwa mwezi wa pili na watakao kuwa considered zaidi ni wale waliopita j.k.t na pia kuna internal workers waliojiendeleza wananafasi zao pale...ila tungoje tuone

Acha kudanganya watu...kama hujui kitu bora kukaa kimiya mala mia...wao ni wapumbavu kutangaza hizo nafasi...c wangesema na vigezo vya JKT!!...au mm nilisoma vibaya tangazo lao?...ni hayo tu ...so tusikurupuke kuandika v2 2cvyo vijua...its better u shut up.
 
taarifa ni kwamba interview itakuwa mwezi wa pili na watakao kuwa considered zaidi ni wale waliopita j.k.t na pia kuna internal workers waliojiendeleza wananafasi zao pale...ila tungoje tuone

acha uongo kwani jkt kuna professional? Polisi safari hii wamehitaji professional na sijasikia wakisema waliopita jkt watapata kipaumbele. Na pccb ndo hivyo hivyo. Wakihitaji watu ambao hawana fani ndo huwa wanachukua jkt. Kumbuka: wanaojiunga jkt karibu wote ni form 4 hata km ulimaliza form 6 cheti utakachoingilia ni cha form 4.
 
Nakupa latest update za usaili wa pccb!wameambiwa hadi July Mwakani ndio watapewa fungu na kuwaita hao waliiomba kwa interview!asante nawakilisha!
 
Hata procedure zakupewa kibali chakuajiri na utumishi huzijui.....ukiona ofisi imetangaza nafasi za kazi ujue wameshapewa kibali, mfano hizi nafasi za pccb mie niliambiwa niombe tangu mwaka jana november lakin walikua hawajapewa kibali mpaka hii majuzi hapa
 
Back
Top Bottom