Mwenye taarifa kuhusu nafasi za uhamiaji....vp wameshatoa majina???

KONGOTO

Member
Apr 3, 2012
48
4
Jaman kwa yeyote mwenye taarifa za uhamiaji naomba anijuze hapa jf tafadhali maana wengine tupo kijijini kweli hata magazeti hatupati....nawasilisha wana jf..
 
Mkuu watu tayari washaanza kazi huu unaenda mwezi wa pili sasa, we bado unasubiria tu.
 
Hata hivyo hivyo kuna taarifa kwamba wantahitajika graduate si muda mrefu hivyo wambie wanzako wajiandae popote walipo
 
Mkuu gazeti la mtanzania la leo naona majina kibao wameitwa kwa intavyuu kuanzia julai 9 mpaka 18.sijui nikusaidieje ...
 
Back
Top Bottom