Mwenye Taarifa kuhusu Ajira DTB

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Habari za wakati wadau,kuna nafasi zilitangazwa na DTB-DIAMOND TRUST BANK ilikuwa mwezi wa pili mwanzoni,Branch manager,clerical officer na bank teller,kwa matawi ya mwanza,tanga,kigoma,arusha na dar,vipi kuna watu waliobahatika kuitwa kwenye interview au kuna taarifa gani kuhusu ukimya wao,msaada please...?
 
Niliwapigia simu last week na leo nimeenda pale, taarifa rasmi ni kwamba watu walishafanya interview tayari.! mimi mwenyewe nimesikitika sana
 
nashukuru kwa taarifa,maana hata siku ya interview hatukuijua,hv ndvo mambo yanavokwenda tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom