Mwenye namba ya Banza Stone!..

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
820
174
Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza

Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa anatunga nyimbo ambazo ikitokea akifa basi

zitabaki kumbukumbu ya sisi mashabiki wake.

Kwakweli nilisikitishwa sana,ninahitaji kuonana na huyu msanii niongee naye kuweza kumpa matumaini mapya.
 
Maskini Banza, yaani amekata tamaa kabisa, Duh I like nyimbo yake ya elimu ya mjinga na Mtu pesa
 
Banza anahitaji msaada wa Kiroho tu! Tumuombee afunuliwe atua sahihi za kuchukua hasa Kiroho!

Uko sahihi kabisa kaka hicho ndicho kitu anakosa akipata msaada wa kutosha katika jambo hili na yeye akawapokea msaada huu atatamani kuishi zaidi!....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom