Mwenye mtoto wake ajitokeze

Kuendelea na Shule ni akili ya mtoto mwenyewe...kuna ndugu yangu alijifungua two weeks baada ya kumaliza mitihani ya darasa la Saba at the age of 13, lakini alifaulu akaendelea na sekondari akamaliza chuo now ni mwalimu wa sekondari Mtwara kaajiriwa mwaka huu mwanzoni


huyo hata akikuambia ni bahati mbaya unamuelewa kabisaa kwa jitihada hizo...
 
Ingawa kama mzazi inaniuma, lakini sina budi kusema mtoto huwa hawezi kuzaa mtoto; kama amezaa mtoto basi huyo ni mkubwa na hakuna ubakaji hapo.

Hili neno mkuu.
Mkuu nimefuatilia nikagundua unakila sababu za kuitwa VERIFIED MEMBER. Kwanini usifanye hivyo?
Samahani kama nimekukwaza
 
Umri ni namba tu jamani,kwa kizazi cha sasa hakuna uhusiano wowote kati ya umri na umbo..hasa mabinti! Wale Ma'biologist wanisaidie! Ndio maana 'wanaliwa'...na huo ni mfano tu kati ya maajabu ya watoto wa kizazi hiki! Mungu atunusuru!
 
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo aliyejifungua chumba cha mtihani wa hisabati ilifahamu ubakaji huu. Ni ubakaji kwakuwa binti hana miaka 18. Alibakwa. Jambo hili si la kulishabikia. Muda ni huu

bukoba zaidi ya uijuavyo, binti akizaa mtoto hukimbiliwa kama mpira wa kona.
 
Back
Top Bottom