Mwenye kujua tiba ya fungas ya muda mrefu

Bokohalamu

Member
Mar 13, 2012
94
8
Nimekua na tatizo la kupatwa na fungas eneo la mabega na mpaka maeneo ya kiuno,mgongoni inachukua sehemu kubwa ila mbele ni kidogo,sometimes zinaweka mabaka meusi bt nimetumia dawa sana bila mafanikio!kwa sasa nimetoka kutumia doz ya vidonge 7 aina ya (terbifin-250) na ya kupaka (dexaquin),zinafifia ila hazijaisha!sasa najiuliza sijui niongeze doze ama nitajiover.Tatizo hili ni la muda mref kama miaka 15 hiv ila cha kushangaza nikienda kuishi kwenye maeneo ya barid nikatumia dawa zinapotea kabisa ila nikitua tu dar mpango ulele.Nimehisi labda nina aleji ila sijapima,pia nilifikiria kusafisha damu ila nahofia zile mashine hazina side-effect kwel!
Hili tatizo nililipata maeneo ya Moro nikiwa o-level nikawa nahisi ni maj yake yana madin ya ulanga ndio sababu bt nilipo hama hali ikaendelea.
 
kAMA UNAYO MAJIBU VILE, DAWA UNAMEZA ZA NINI KAMA HATA HUJAPIMA???????
NENDA KWA WATAALAM WA NGOZI WANAITWA "DERMATOLOGISTS" HALAFU URUDI SASA UTUAMBIE IMESHINDIKANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom