Mwenye kujua jibu anisaidie

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
nmepatw na hal ya kuondokewa na hisia za mapenz. Cjui imesababshwa na nini. Npo under 30. Huu ni km mwez wa3, nile nin/nfanye nn krudsha hica?
 
Hii utakuwa umekosea jukwaa Sweetlady.
Omba wakuhamishie kwenye jukwaa husika.
 
nahisi uliwahi kutendwa siku za nyuma, jaribu kusahau yaliyopita tafuta mtu mwenye mapenzi ya dhati utafurahia na ku-enjoy....kama ni scenario tofauti jaribu kubadili mazingira nenda dinner/out sehemu nzuri na tulivu, nenda club, kuwa more romantic dress to appear like its a big day....nenda uka refresh nje ya mji w'end kama bagamoyo, z'bar, lushoto etc....kama ni mnywaji jaribu amarula, redds, wines etc...present gifts to ur hubby, resume ur old sweettalks...i mean do smthn to trigger ur sexual desire....
 
Pamoja na kupotea jukwaa..... Punguza Stress!
Acha kununa-nuna, jaribu kutabasamu kila wakati, bila kujali uko wapi (tabasamu si kujichekesha) hii itakusaidia kupunguza msongo moyoni mwako.

Nenda hospitali kapime afya yako, na baada ya hapo utajua tatizo linasababisha na nini?

Zaidi sana fanya kazi kwa bidii na mazoezi, na mwisho wa siku utakuwa sawa na kila jambo litakuwa jema kwako.
 
Back
Top Bottom