Mwenye kufahamu!

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Jamani ndg wanajamvi hili kwanini imekuwa ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida kuwa na mawasiliano ya viongozi wakuu wa serikali na hata kama kwa bahati mbaya ukiwa wanazo ukiwapigia hawapokei kwanini?

Nawaombeni kama kuna mtu atakuwa ana mawasiliano ya simu ya Mh. Freeman Mbowe plz tunaomba atuwekee hapa au kama mwenyewe Mh. Mbowe ataisoma hii topic atuwekee namba yake ya simu. Ahsante nawakilisha.
 
kaka dunia siku hizi imechafuka watu wanahofia sana namba mpya katika simu zao hasa kwa viongozi wakubwa , nakushauri uwasiliane nao kupitia mtandao hata fb au uende ofisi ya chadema uliyokaribu nawe
 
kaka dunia siku hizi imechafuka watu wanahofia sana namba mpya katika simu zao hasa kwa viongozi wakubwa , nakushauri uwasiliane nao kupitia mtandao hata fb au uende ofisi ya chadema uliyokaribu nawe

huu ni mtazambo lakini
 
Back
Top Bottom