Mwenye game ya pes 2012 naomba anisaidie

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
wadau kama kuna m2 yeyote atakuwa na game ya pes 2012 plz naomba anisaidie im dying 4 it nipo dar mmbezi kwa msuguri

thanx in advance
 
kama ni ya pc ninayo ila ina commentation za kijeromani na kifaransa,
bado sijadownload english file ya english commentations...!!! mbezi beach ila daily mchana nakuwepo sinza palestina...
 
Last edited by a moderator:
kama ni ya pc ninayo ila ina commentation za kijeromani na kifaransa,
bado sijadownload english file ya english commentations...!!! mbezi beach ila daily mchana nakuwepo sinza palestina...

ya kwenye pc ndio kaka ukinipa namba yako itakua poa sana na mimi huwa nakuja sana sinza lina gb ngapi?
 
jamani ndio hamna mwenye hilo game mbona kimya hivyo gus i nid ur help plz
 
Raha ya game uicheze kwa kutumia Playstation na siyo PC!!
kama kuna anayehitaji CD ya FIFA 2013 anitafute!
 
Raha ya game uicheze kwa kutumia Playstation na siyo PC!!
kama kuna anayehitaji CD ya FIFA 2013 anitafute!

Hamna tofauti yoyote ktk game za fifa na pes especially hzi latest games ukitaka usione tofauti tafuta vifuatavyo kwenye pc yako; usb pad, uwe na graphic card yenye uwezo mkubwa, na display (monitor) ya ukweli ukipata LED HD AU HATA LCD WIDESCREEN hapo ndo utaona hamna tofauti.
 
kuna washikaji walikuwa wanataka PES 2012 hapa arusha and I haven't heard from them in forever, so kama kuna yeyote anataka hiyo PES hapa a.town anishtue. that and yule mshikaji wa NFS Shift..
 
Back
Top Bottom