Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

CV ya nini mbona akina Chang'a walikuwa wapiga mapambio ya CCm amekuwa mkuu wa wilaya Mbeya mjini,Tabora na sasa sijui kapangiwa wapi CV ya ukuu wa wilaya wa CCM nikupepeta mdomo na kuwa kada maarufu wa CCm ha ha i love my country kwa vituko ndio yenyewe
 
jamani mi sijaisoma hiyo orodha ya walioteuliwa u-dc,pengine mi nipo sijui tu nipo nahangaika na kusherehesha sherehe,jina langu ni hili hili!
 
CV wahitaji ya nini? Kipindi cha kuhitaji CV kimepita, nenda TISS utapata nakala. Pia muachane na wivu, mtz yeyote akichaguliwa na RAIS sifa anazo HAKUNA mjadala
 
Back
Top Bottom