Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

Huyu Makunga amepewa zawadi ya kufanya biased reporting kwenye uchaguzi wa Arumeru mashariki. Alikuwa anapendelea chama cha magamba sana ukiangalia picha za kwenye mikutano ya chadema alikuwa anapiga picha kule ambako hakukuwa na watu wengi kuonyesha mikutano ya chadema ilikuwa inahudhuriwa na watu wachache.
 
Naona sasa baada ya kuukwaa ukuu wa wilaya atakua anapatikana maeneo ya pale Boma N'gombe kuna baa nyingi sana.
 
Ninavyofahamu Pasco si jina lake halisi, ni jina la JF tu. Huwezi jua na yeye ameukwaa ukuu wa Wilaya lakini bahati mbaya jina lake halisi hatulijui.

Au mkuu unalijua jina halisi la PASCO?

Tiba
Aweza kuwa ndiye Makunga!
 
Makunga alikuwa anaripoti kinazi sana uchaguzi wa Arumeru mashariki!kumbe alikuwa ameahidiwa hako kaukuu ka wilaya?

Nimependa hiyo sarufi kamanda. Kwahiyo kuna kaukuu ka mkoa, kauwaziri kakuu, kauwana sheria kakuu n.k
 
All in all, kwa kuwa Makunga amekuwa celebrity na kwa kuwa elimu yake ni ya mashaka, na kwa kuwa Ofisi ya Dc pale Hai iko ktk Jengo la Halmashauri iliyosheheni wataalamu na wenye elimu na ufahamu mkubwa kuliko Dc Makunga, ingekuwa ni busara kwa Rais kumtafutia Makunga Wilaya nyingine kama vile Namtumbo au Tandahimba.
 
Ukuu wa Wilaya hausomewi??? kweli nakubaliana na ww, ila kwa Tanzania. Kweli kuna kupata maendeleo kwa maantiki hiyo? Atajuaje waliochini yake kama wanachakachua fedha? Akiletewa vitabu vya mahesabu aangalie yaliyomo atajua? Au atakuwa anasema we Mkurungezi maliza kila kitu? Kazi kwelikweli.
 
Ni kweli jamaa mchana anapatikana Madini Bar na usiku mkulima bar iliyopo kaloleni - Bar no 1 kwa machangu waliokubuhu.

Lakini la ziada ni kwamba namfahamu fika ****** huyu tangu 1996, nilimkuta Arusha akifanya kazi AICC kama PRO, wakati huo alikuwa na elimu ya form 4 failure, alikuwa hawezi kuandika na hata kuzungumza hata sentensi moja ya kiingereza (Najua sasa amejiendeleza). Hiyo nafasi aliwekwa na nduguye JK wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Nakumbuka kipindi hicho Mkurugenzi wa AICC Meja Jenerali Mstaafu Herman Lupogo hakufurahia uteuzi na hata utendaji wa Makunga, lakini hakuwa na jinsi kwani AICC ni Shirika la Uma lililo chini ya Wizara ya Mambo ya Nchi Za Nje. Pamoja na mambo mengine suala la Makunga lililetea mvutano mkubwa sana kati ya Lupogo na JK. Ikumbukwe kwamba mara baada ya JK kuutwaa ukuu wa nchi alimbwaga chini mara moja Lupogo ambaye wakati huo alikuwa CEO wa TACAIDS.

Makunga pamoja na kuwa mfanyakazi wa AICC lakini tangu miaka ya 90 tayari alikuwa mjasiriamali katika sekta ya habari, akiwa kama Correspondent wa IPP Media na mmiliki wa kampuni inayofanya vizuri katika sekta ya matangazo hususani magazeti - Mega Top Agency.

Naelewa ya kwamba baadaye Makunga alijiunga na Chuo cha Diplomasia Kurasini kwa ngazi ya cheti na hatimae Diploma.

Huyo ndio Novatus Makunga ninayemfahamu.

Info nzuri, inaonekana mnamfahamu si haba.

So ni wazi hawajakutana barabarani na JK! It serves to accentuate the dominant culture of "technical know-WHO" in place of techinical know-HOW". Not only applied to Makunga rather that's the norm with majortiy of his appointees.

Kwa vile napinga uwepo wa cheo/nafasi ya u-DC na u-RC sitampa hongera Bw. Makunga wala mteuliwa yeyote ktk nafasi hizo.
 
Kwa jinsi ninavyomfahamu rafiki yangu makunga, pale Boma Ng'ombe tutakula bata sana. hongera zako ingawa ni mnazi sana wa magamba.

Sihitaji CV yako, nahitaji output yako.
 
Mkuu,
Kipindi hicho nilikuwa naishi nyumba moja ya kupanga na huyu mdogo wake eneo la Sakina Silent Inn!..Dogo alikuwa na maconfidence sana ya kukamata u-dc kutokana na kuwa M*KWERE tu, kabila la mzee. Baada ya majina kutangazwa akiwa hayumo alihama mtaa kabisa!, na baadaye akachaguliwa kuwa kamanda wa vijana wa Wilaya ya Bagamoyo!
jamani watanzania kwa wivu wa kijingi mnatisha.hapo ni wivu tu kwa nini wao hawakuteuliwa na makunga kateuliwa,nawafahamu vizuri sana novatus makunga na ernest makunga.tulichukua wote pgd(international relations
na yeye akawa public relations officer wa aicc.na ernest ana LLB na sasa anakaribia kugraduate LLM(international economic law) na wakati fulani aliwahi kufanya kazi mahakama ya Rwanda(ICTR) kwa hiyo mnavyoleta ishu y ukwere nawashangaa.acheni wivu wa kijinga,wivu wa kike
 
DC Makunga nenda kapige kazi Hai hayo ni maneno ya watu wa magwanda wameingia kiwewe wanakuogopa ndo maana hawataki uende wilaya ya Hai. nakujua jinsi ulivyo mchapa kazi
 
CV zenu zingekuwa bora zaidi si mngepewa ninyi?

Sidhani kama issue ni CV bora bali ni unamjua nani au uko kwenye mtandao wa mtu gani? Issue ni makundi na kujipendekeza na hiyo ndiyo cancer kubwa inayoiua CCM na kwa bahati mbaya sana hata nchi yetu ya Tanzania.... technical know who!! Ndiyo maana akina Ekelege hawakuchukuliwa hatua zozote zile pamoja na kwamba wakubwa walikua kuna uozo.. Ndiyo maana Jeshi la polisi linaweza kukaa kimya anaposimama Lusinde aka Kibajaji na kuporomosha matusi lakini akisimama Nassar na kuongea vyake yeye anaambiwa anahatarisha usalama.. Ndiyo maana watu kama akina Makunga wanaweza kuwa wakuu wa wilaya na wengine wengi wenye sifa bora na historia ya utendaji wa kazi hawawezi kupewa hizo nafasi!!!
 
hivi vyeo vya ukuu wa wilaya na mikoa ni vya kutoa kabisa
makatibu tawala wa mikoa ndio watendaji wanatosha
tena wawe wanachaguliwa na wananchi
nadhani ktk katiba mpya msisahau hili wadau
 
Inaonekana kuna hamu kubwa kwa wanaJF kuulizia CV za mtu yeyeto anapopata madaraka.Nadhani tulipofikia kwa sasa CV siyo muhimu hata hao wenye madree kibao walioaminiwa ndio hao ambao wamelimaliza taifa letu kwa kujijali wenyewe. Ni bora kuwa na mtu mwenye CV ya kawaida ili anapoharibu iwe rahisi hata kumuwajibisha, isitoshe hata wizi wake umchwa wake hautakuwa mkubwa kuleta madhara kwa maendeleo kwa kuwa uwezo wake wa kumanage magendo makubwa ni mdogo.
 
Novatus Makunga ni nani?

Alipotoka, alipo sasa hasa katika Siasa za Tanzania....Yukoje huyu mtu?
wewe kwa maongezi yake, fikra zake na upande wake anaosimamia unamunaoje, ukilinganisha na fikra zako za maendeleo unayoyataka wewe na jamii unayoitaka wewe.

Hizi pumba za CV ndio zinawaaribu kuna watu wana PHD's and the performance is zero embu anzeni kuwaangalia watu kisiasa na sera zao kama kweli ni practicable kuliko hizi pumba zenu za qualifications and work experiences. After all the results are obvious.
 
huyu makunga Novatus alishawahi kumfumania mkewe na jamaa mmoja hivi hapa moshono akamkodishia washikaji wakamfanyia kitu mbaya jamaa yaani kwa kifupi ni mtu wa visasi na kubwa jinga kama vipi ulizia bar moja hapa Arusha inaitwa OHIO utapata habari za huyu bwana.


Basi mimi nimetosheka kwamba ni mtu makini, kama ameweza kuwatia adabu wanaosarandia mali zake kwa hasira ya dizaini hiyo huenda akalinda na mali za umma kwa nguvu hizo hizo-Makunga uzi huo huo usibadilike!!!!
 
Back
Top Bottom