Mwenye CV ya Jaji mstaafu Salome Kaganda aiweke hapa

Naomaba cv ya mh. Salome Kaganda

Ni fisadi ndiyo maana ameaminiwa na JK!!!!!!!! Rtd Jaji Ihema aliyemtangulia kwa muda wake wote ametangaza mali za viongozi wangapi????????? Cv ya nini mwanaJ???????????? Basic Qualification ni kuwa potential Fisadi-period!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naomaba cv ya mh. Salome Kaganda

Nyambaafu! Wewe kama nani hadi uombe CV ya mtu fulani? Kila siku imekuwa kwaya tu mada kibao vilaza kama wewe mnakuja na kudai CV za fulani na fulani kama haki yenu. Kama waliomba ajira kwenu, basi watakuwa washatuma na CV zao...
 
Tunaanza kuwatilia shaka hata majaji? Kama taifa tunapaswa kuwekana sawa. Haileti picha nzuri. Ila uko right kuelezea hisia zako.
 
Alivyosema Lowasa Na Sumaye wanaweza kushitakiwa kwa kutoa siri za Serikali.... tayari mmeanza kumchambua.!
 
inawezekana umesoma hotel menejimenti afu tushushe Cv ya Jaji hapa utaweza kuisoma kweli? weka kwanza cv yako tujue wapi tunaweza kuanzia.... nyam.b.f. wewee
 
...Judgement yake ninayoifahamu mimi ni ile aliyomtimua yule Mteuliwa wa u DC muda mfupi kabla ya kuapishwa pale ikulu
Nimegoogle sijapata hata moja au kutajwa popote! Ukisoma judgement za watu kama hawa, utaona weledi wao. Kuna judgement ukisoma unaona kabisa kuwa huyu hamna kitu, hasa kama una elimu ya sheria kidogo.
 
Tunaanza kuwatilia shaka hata majaji? Kama taifa tunapaswa kuwekana sawa. Haileti picha nzuri. Ila uko right kuelezea hisia zako.
Kwanini wasitiliwe shaka wakati na wao wamejiingiza katika biashara haramu ya kupiga dili????
Rejea vimbwanga vya escraw kama mfano.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom