Mwenye Bekari mmoja nchini Uturuki kaweka mikate nje ale mtu kwa mwenye kutaka

Mkuu philipo kidwanga hivyo vyotekatka sheria ya dini Haviruhusiwe tumejitungia sisi wenyewe tu ni vitu vya kizushi tu.
na hapa ndipo ninaposhindwa kuihusisha dini na mungu,maana mungu hana vitu vya kichina mungu ni mnyoofu.twapasa kuifahamu na kuielewa kiundani maana ya dini kwa mustakabali wa dunia yetu.vipi kitu kihusianacho na mungu kianze kutaka kuiharibu dunia,nitatoa mifano[1]wengine wanakaa wanatoa picha za kuwadhalilisha viongozi wa dini za wenzao.[2]wengine wanawatuma watoto wadogo wakafanye vitu vya kijinga kuudhi na kudhalilisha imani za wengine[3]wengi wanajifanya wana imani na nguvu mpaka kufikiri ni ambazo zinaweza kumsaisdia mungu kupambana[4]wangine wanashindwa kutofautisha kosa la mtu mmoja na kosa la jamii hivyo kutafuta sababu za kijinga za kushambulia nyumba za ibada za wengine.kwa kuorodhesha ni mengi sana mkuu mzizi lakini tusipoangalia dini hizi zitaisambaratisha dunia.my take haupo uhusiano wa dini na mungu ila kuna uhusiano wa binadamu na dini ambapo huamini kwamba kupitia dini wapo karibu na muumba wao.
 
559642_466010530109762_153646648_n.jpg

Napiga picha kama ingekuwa ni Bakhresa kafanya hivyo mitaa ya Vingunguti na Buguruni...
 
Mkuu TONGONI ina maanisha upo istanbul Turkey wewe? huoni aibu kwenda kuchukuwa mkate wa bure mtu mweusi? ahhhhhhhhhhhh ningelikuwepo UTuruki ningekutafutia ni wapi hapo kwani wewe upo istanbul sehemu gani? kuna rafiki yangu yupo hapo istanbul nipe namba yako ya simu kwa njia ya Pm. nimpe rafiki yangu akupigie simu..............................

Nilikaa Istanbul kitambo na naijua vizuri sana........Then miaka ya nyuma ilikuwa ngumu kwa kuwa watu weusi ilikuwa ndio wanajichanganya na wabata 'I mean ningeuchuna tu kuchukua mkate'....Lakini miaka hii watu wanajiachia wamejichamganya sana na wabata.
 
Back
Top Bottom