Mwenge na bajeti ya mafuta.

paul vicent

Member
Jul 13, 2012
44
4
Leo nipo wilayani kilosa mkoa wa morogoro katika kijiji cha ruaha. Nimeshudia mbio za mwenge zikipita na msafara wa magari yasopungua therathini du!

Nilishtuka kidogo kuona kitu kinachowezeka hata kwa magari kumi tu au matano kuchukua bajeti kubwa ya mafuta na huduma za wakimbizaji.

Huku tanzania bado ikilia kuwa maskini.nikaona hapa kuna tatizo la wataaramu wa uchumi au viongozi wanatumia kubashili mwisho ndio wanangalia mahesabu.
 
unafungua mradi wa milioni 4,halafu unatumia bilioni 20 kukimbiza mwenge.....
kulikoni taifa la wajinga hili.....!
 
Back
Top Bottom