Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.

shemeji lara sijazoea kukuona huku kabisa. karibu, ila unapendezea ukiwa kule kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano. anyway, karibu.
 
Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.

Lara 1

Kwanza, nimei-miss Avatar yako ya mwaka jana.

Pili, pole kwa Wachina...unajua hawa watu baadhi yao wanaishi kiujanja ujanja. Hivyo wengi wanaogopa kufungua akaunti za benki na kuamua kuishi zama za kale za kuweka pesa mchagoni! Si mara ya kwanza kusikia wachina wameibiwa.
 
Thanks huo ndo mgawanyo wa rasilimali za wadanganyika.

Kweli kuna ushabiki mwingine tunaufanya humu bila kutafaakari hebu fikiria uathubutu kushabikia uhalifu dhuluma na wizi ikifikia hapa tutakuwa tumechanganyikiwa hapaa inatakiwa tukemee uhalifu kwa nguvu zote bila kujali ni nani ama mtu kutoka wapi kafanyiwa....
 
Mbona wengi mnaochangia huu uzi pamoja na mtoa mada mnaonekana kama vile mmefurahia watu kukwapua hayo mamilioni ya kichina

Sipendi ukwapuaji, lakini wachina wanakera walimdhulumu mdogo wangu mafao yake ya NSSF wakati kawafanyia kazi miaka saba...
 
hiyo ndio tunaita mgawanyo halali wa rasilimali zetu
washatuibia sana pembe za faru, ndovu, madini yetu
hicho walichokwapua ni salio kidogo sana la bidhaa zetu wanazochuma
bora hao vijana wa kazi watazitumia hapa nyumbani kuinua uchumi
na uzuri hawakumwaga damu ya mtu.sio kila ujambazi ni ujambazi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,:target:
 
Zomba umerudi kumbe
wachaga tu ndio wapenda hela??? je hao wa chama chako walioficha uswizi?????????
QUOTE=zomba;5588985]Hii habari inawafanya Wachagga mate yawadondoke.[/QUOTE]
 
Mbona wengi mnaochangia huu uzi pamoja na mtoa mada mnaonekana kama vile mmefurahia watu kukwapua hayo mamilioni ya kichina

Ni afadhali kuliko hiyo pesa ingesafirishwa kwenda kutumika huko China, ilhali Tz mnabaki na umasikini. Majambazi wataitumia kunywa pombe na kuhonga Wadada kwa hiyo mzunguko utabaki nchini.
 
Nakumbuka story[jokes] kipind cha nyuma kuwa Kulikuwa na mashindano ya kila Rais nchi yake akiwa kwenye ndege: majaji wakaanza ''wewe rais wa China patia hapa tupo wap?''
atoa mkono nje ya ndege akapapasa akagusa magorofa hongkong akasema
''hapa ni China na haya magorofa ya Hongkong'' basi makof kidogo wakampgia
''haya na wewe Malikia wa Uk patia hapa wapi?'' akatoa pua nje akasikia akasikia uturi na perfume akajbu
'' hapa ni N.Y Cty'' kama kawa makof kidogo, baada mwendo''oky na wewe saddam unaweza jua hapa tupo wap?''
akatoa uso nje mh fasta akarudi ndan
akaskia mabomu na harufu yake moshi moshi
akajibu '' hapa bila shaka tupo Iraq''
kama kawa makof na safari ikiwa inaendelea Hayati akawa anajiuliza sasa mimi ntafanyaje ilinipajue kwangu na huku ni angani akfilia bila kupata jib akawaza akasema ntatoa mkono kama rafki wangu wa china litakalo kuwa na liwe hata nikikosa potelea pote, akiwa kwenye lindi la mawazo akashtuushwa na saut ya jaji ikisema ''haya na wewe mzee Julius tuambie hapa ni wapi''?
Akapeleka mkono nje akapapasa mpaka chini hakupata jibu! Ile kurudissha mkono ndan hana saa yake ya mkononi 'akacheka kidogo' akajib
''hapa ni Tz, mkoa Dar maeneo ya Manzese'' makof mengi mmmno maana kapatia mpaka mtaa akawa mshindi!!

we jamaa umenichekesha sana...........namna hiyo bongo si mchezo kwani nakumbuka hata sijui ni sean paul watu walimpiga saa yake aliyovaa mkononi, pale alipotua tu airport katka kusalimiana na watu, watu wakasepa na walivyofata, 50 cent nae alipigwa cmu yaani du
 
Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.

Kumbe zile kungfu zao za kwenye cinema ni tofauti na reality in Bongo...

Hali ya usalama hapa jijini sasa hivi ni ya kuogofya! Kuna wakati hizo risasi zinawapata wapita njia wasiohusika kabisa kama sisi wapuyangaji mtaani!
 
Wanarudisha kidogo kwa jamii japo ni kinguvunguvu,Tutafika tu si nasikia wanahamisha mavipande ya madini hawa na enzi za mwalimu walibeba sana udongo wetu wa madini kwenda nao china
 
Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.

na mke akisafirisha amnong'oneze mumewe???
 
Duh .... mapesa yetu hayo, labia jamaa watasaidia jamii. Lakini huo .ni uzembe mkubwa kwa wanaosafirisha pesa, kupata huduma ya kusindikizwa na professional majambazi-polisi gharama haizidi hata laki 1
 
hujawahi ibiwa wewe unasifia wezi eeh?
ngoja yakukute, utalia na kusaga meno, n
a hapo tutaona kama utatumia neneo 'vijana wa kazi' wakati unalia,

Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.
 
kweli kabisa, eti VIJANA WA KAZI, yani anasifia nje nje yani daah, ila ujana wa kazi una raha zake usiposhikwa acha kabisa.
 
Back
Top Bottom