Mwenendo wa Uchaguzi Mkuu 2015 - Andrew Nyerere azungumza

Mkuu niletee na mimi soda stone tangawizi ya baridi.

Hahahahaa jamaa naona taratibu unaanza Kujitambua, hivi umeshachukua kadi ya uanachama wa CHADEMA???

Karibu sana kwny mabadiliko ya kweli
 
Ule,baada ya hii hamahama ya makada wake kura zinaweza kubadilika. Lowassa anashutumiwa kuwa ufisadi. Lakini hill kwa sasa halionekani kuwa tatizo kubwa kwa watu wengi ambao wameweka matumaini yao kwake. CCM ni chama tawala,kimekuwa ni chama tawala kwa muda mrefu. Uzoefu kutoka kwenye uchaguzi uliopita unaonyesha kwamba watu wengine wanaona ni uhaini kuwapigia kura Ukawa,au wanaona dhambikuwapigia kura Ukawa. Hili ni tatizo lingine ambalo linaikabili Ukawa. Watu wanaiunga mkono Ukawa,lakini hawajasema lolote kuhusu katiba,wanaongea tu kuhusu matatizo mengine ya kilo siku. Unaonyesha kwamba kimsingi hawana matatizo yoyote na katiba pendekezwa,ni katiba ambayo Ina nia njema,kwa hiyo jina la ukawa halina
Mkuu kweli ukubwa dawa unaandika kama chizi hadi usome Mara tatu tatu ndio huwa nakuelewa, utabiri wako naona umetimia
 
Umuhimu sana kwa wananchi ila tu kwamba wanataka mabadiliko.kwa wale wanaotaka mabadiliko. Matatizo ya vyombo vya dola,nadhani vyombo vya dola vitafurahi kuwaunga mkono Ukawa,Kama Ukawa wanataka kuleta change for the better,mabadiliko ya kweli. Lakini hakuna maana vyombo vya dola viwaunge
Hii iliishia njiani moja kwa moja
 
Kuhusu huu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyesha ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindani mkubwa. Makada wengi wamekihama chama cha CCM na kujiunga na Chadema. Lakini Chadema. Lakini Chadema pia imehamwa na wanachama wake. Sasa yupo Lowassa ambaye anaweza kuwa rais

View: https://x.com/kevin_ndabila/status/1754482558962716704?t=L56Bn6V_315uuCzipRFsIA&s=09
Kumbe support uliianza zamani!.
P
 
Kuhusu huu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyesha ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindani mkubwa. Makada wengi wamekihama chama cha CCM na kujiunga na Chadema. Lakini Chadema. Lakini Chadema pia imehamwa na wanachama wake. Sasa yupo Lowassa ambaye anaweza kuwa rais
Jamaa kumbe yupo yupo
 
Hiyo video ya jana,2023,Feb 5,ulikuwepo mkutano wa Chadema hapa Arusha.
Nilienda kwenye mkutano wa Chadema. Niliporudi nyumbani ndugu akanipigia simu toka Dar anasema anayo kadi yangu ya CCM.
Kwa hiyo hatimaye nimeipata kadi yangu ya CCM niliyoiomba zamani.
Mahitaji ya binadamu ni chakula,dawa,makazi,mavazi na mtumishi.
 
Back
Top Bottom