Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Amina. Sasa ngoja nikatende lile dhambi ninalo shindwa kuresist. Si watalihamisha kwa yule mod mbaya (hata simjui mimi).

Bora umeimiss, ilikua ni migongo ya watu walokatwa na mapanga, unaona hadi ndani. tena watu wenyewe weupe so it looks like in a haram butchery, if you know what I mean...
Mh sijui anazipataga wapi aisee lol
Ila zile nyingine za vituko huwa nazifurahia sana aisee lol
 
Nasema Preta njoo uamlie kesi maana hapa watu itakuwa hivi
532382_10151205886357013_1736790581_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!! ili mradi tu usiende mzulumu shem wangu. Msamaha huu wa zambi hauhusiani na zinaa.... Huyu mod mwenye roho mbaya humjui? Mtakapokaa kwenye kikao chenu cha baraza la mamods, angalia mamod wote usoni, utakayemwona ana macho yenye aibu kama pasi ya mkaa ndio huyohuyo! Nlimwendea Botswana kwa anko wake klorokwini ili amloge macho yahamie kisogoni lakini bahati mbaya kumbe alikuwa ameenda Ukraine.

Ukimwona mwambie siku nyingine akinilamba ban, atatumia mdomo kuachia ushuzzi wallah!
Teh atakuwa anamjua ila kama huyo mod ni mkimya sana anaua kimya kimya hatamjua
Lol kakuudhi hadi umeshindwa kusahau Asprin lol
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.

Ukienda likizo safari hii usiache kuniarifu nikupe zawadi umpelekee Babu yako Mswati.
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.

amina my hazbendi....
 
Last edited by a moderator:
nikipewa show mimi siwezi kuiendesha ki chit chat. Itakua ni live broadcast kwenye skypegroup au tunatafuta namna nyingine ya kuwakutanisha live. Tenda ya kuuza popcorn na vinywaji atapewa Bishanga, na kama kuna mpango wa kitihot basi Preta atatununulia kwa askofu. Ikiwa nitapewa kuendesha show, nadhani nitawaalika
  1. Zomba na Matola kwa review ya miaka 7 ya utawala wa Kikwete na what to expect in 2015 (refa:EMT)
  2. AshaDii na Gaijin kwa mazungumzo kuhusu mila na tamaduni za Africa (Refa bht)
  3. Mekatilili na Askari Kanzu kuhusu viwango mbali mbali vya maendeleao katika nchi za EAC (Refa Satta)
  4. Dr Riwa na Mzizi Mkavu kuhusu tiba za asili vs tiba za kisasa (Refa King'asti)
  5. Kiranga na William Malecela kuhusu nafasi ya vijana katika siana na uendeshaji wa nchi (refa: FJM)
  6. Naweza pia kuwaalika Kiranga na H1N1 kujadili suala la kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu (Refa NN)
  7. Bishanga na Nyani Ngabu kuhusu... well, kuhusu Bishanga na NN. They are a show by themselves (refa Lizzy)
  8. Nikimwalika Invisible nitamwalika alone coz mimi na yeye tunatofautiana sana kimawazo. (Refa: X-PASTER)
  9. Another good combination ni Excellent na T Bag Hatari washindishane ku-crack jokes (refa: Jaguar)
  10. Mwisho kabisa naweza kuwajadilisha Zinduna mwenyewe na Kimbweka kuhusu picha gani zinafaa na zipi hazifai kuwekwa lile jukwaa la watu wazima (refa: Boflo)

hapo namba 1 ambulance iwepo karibu
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52
Erickb52, me naomba show Mwendeshaji mimi afu mgeni naniliu jamani huwa nampendaga basi tu... lakini naendelea na mkesha kwa baba mchungaji pale JRC Kirumba yaani mpaka kieleweke!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom