Mwembamba kama kijiti!

1. Kula chakula mara tatu bila ya kusahau matunda na mbogamboga kwa wingi.
2. Punguza mawazo: Mawazo hufanya watu kupungua kwa haraka zaidi.
3. Rizika jinsi hivyo ulivyo na ujikubali/ulichonacho.
4. Pumzika vya kutosha.
 
komaa na shwain lazima shavu lije coz huyu mdudu anamiujiza zaidi ya ei ara vi!!! ila umeshawahi kucheki moto! isijekuwa umeshalipuka!
 
Back
Top Bottom