Mwema walipe polisi posho zao wafurahie sikukuu ya idd

youk

Member
Jun 9, 2011
8
0
Tokea kupitishwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi na naibu waziri kuwadanganya wabunge kuwa polisi wanalipwa posho ya tsh 150000 habari za kuaminika kutoka ndani ya
 
Posho inahusiana vipi na sikuku ya Allah na Hayati Mwamedi mwanzilishi wa Uislam?
 
Tokea kupitishwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi na naibu waziri kuwadanganya wabunge kuwa polisi wanalipwa posho ya tsh 150000 habari za kuaminika kutoka ndani ya
<br />jeshi hilo hadi sasa hawajapata posho hizo na huwa wanalipwa kabla ya tarehe 15 kila mwezi na askari hao wametishwa kutolipwa kwa kuwa wanapeleka malalamiko kwa wanasiasa
<br
 
Afu unapost nusu au unafanya unavyojisikia alimladi uonekane unapost
 
<br />jeshi hilo hadi sasa hawajapata posho hizo na huwa wanalipwa kabla ya tarehe 15 kila mwezi na askari hao wametishwa kutolipwa kwa kuwa wanapeleka malalamiko kwa wanasiasa
<br
Wewe ni polisi au? Hivyo jamaa mpaka saizi hawajadaka mshiko wao!
 
Wewe ni polisi au? Hivyo jamaa mpaka saizi hawajadaka mshiko wao!

inasiktisha sana mzee wa rula,..jamaa mpaka sasa hawajadaka kitu,...rafiki zangu ni polisi hivyo najua hali halisi,...anyway ni ngumu kumeza mkuu wangu
 
tatizo mnawchekea mnalinda mali zao nyingi lakini bado wanawachakachua,halafu mwema si wakumtegemea kwa sababu anatekeleza matakwa ya ccm.............DU..............hadi polisi mnachakachuliwa kweli hii nchi haina amani ila M.A.FA.L.A WENGI......
 
Mshahara mdogo, bado wanapewa kwa tabu. Wabunge mshahara mzur hawasumbuliwi. Inauma sana.
 
Ujinga wa polisi kulinda hela za serikali huku wao choka mbaya

labda ni wazalendo.

Kwa kweli inasikitisha kuona serikali inawatelekeza hawa POLISI. Mshahara duni, ambao kwa namna yoyote ile hauwezi kuwasaidia kujikimu na maisha ya mjini. Ikumbukwe tu kuwa, polisi wengi wanaishi mijini.

kwa kuwa maisha ni magumu, ndo maana wameshindwa kusimamia haki kwa kupokea rushwa ili waweze kujikimu. hali itakuwa mbaya zaidi iwapo serikali itashindwa kuwalipa, tutegemeee hali ngumu sana kwa wananchi wa kawaida, kwani polisi watalazimisha kupata pesa kwa njia yoyote ile ili familia zao nazo zifurahie na familia nyingine.
 
Back
Top Bottom