Mwelekeo wa Tanzania ni wapi?

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Wana Jf habari za saa hizi ambazo tunaishi katika pango ambalo linavukizwa na moto mkali wa mabuwa na vifuu vya nazi, Naomba mchango katika hili
Najaribu kuvuta picha juu ya mwelekeo wa nchi hii hapo baadae ila majibu siyapati kwa kuwa naona siku baada ya siku wananchi tunazidi kuumia hususani wale tunaoishi nje ya International line (less than US $1) hali ya kuwa viongozi wanazidi kuongeza vitambi vyao kila siku. Pamoja na hilo tunajaribu kuona mgomo wa madaktari usipoangaliwa kwa jicho la tatu ili kuweza kuokoa maisha ya walala hoi. Hapo ndipo nashindwa kuelewa kwa mambo yanayowagusa viatu hayachukuliwi kwa uyakini na yao kuweka kipau mbele kama kuongezewa posho na n.k.?
 
Back
Top Bottom