Mwekezaji mwaminifu kwenye mgodi wa rubi morogoro

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,427
1,475
Wadau wa jF habr zenu.Mimi na wenzangu tuna mgodi wa madini ya rubi maeneo ya MATOMBO morogoro kijiji cha mwalazi.Una ukubwa wa eka 4,lesen tayar tunayo na tunachohtaj ni mtu makini na mwaminifu anayejua mambo ya madin ya rubi.awekeze ela zake na kitachopatkana tugawane kisheria.Hatutak atupatie pesa yake mkonon bali yeye mwenyewe au kwa kutumia wasaidiz wake waje tuwapeleke site ili wajiridhishe.Nazungumza hv kwa kuwa najua mambo ya madin yamejaa sana utapeli kitu ambacho sikipend kwenye maisha yangu.Ninapenda zaid mwekezaj au partner awe foreigner ila pia akiwa mtz syo mbaya mradi uadilifu uwepo.Aliye siriaz ani PM .Karibun
 
Halahala na akina papa Msofe,Young Milionia kuwa mwangalifu kaka,hata wachina nao ndio usiseme
 
Halahala na akina papa Msofe,Young Milionia kuwa mwangalifu kaka,hata wachina nao ndio usiseme
Mkuu asante kwa mwaliko, vipi umeshafanya survey na umeona yapo hayo madini maana kuna wakati vijana wengi walikuwa maeneo hayo na walikwangua kila kitu na kuyaauza hapo Kibungo chini, kama una uhakika na uwepo wa madini hayo katika eneo hilo la Mwalazi ulilohodhi nitakuwa tayari kuungana nawe maana huko ndiko hasa tambiko zetu ziko.
 
Bos hapo napozungumzia ni rubi ya kwenye mwamba ambayo ipo juu sana sokon .2lizuia uchimbaj wa local kwa hyo hapo hakijachukuliwa kitu.Wewe upo dar au mkoa upi?Na je una mdau ?Au wewe mwenyewe ndo mdau?.Ukiweka mawasiliano yako au ukini pm 2tapanga meng na kujuana vizur.
 
mkuu

unayo PML

i mean umesha peg

primary mining license ninayo mkuu.Mwekezaj unaye tuage umaskin?Kama upo siriaz nichek mana nimechoshwa na longolongo za baadh ya wadau.Asante
 
Bos hapo napozungumzia ni rubi ya kwenye mwamba ambayo ipo juu sana sokon .2lizuia uchimbaj wa local kwa hyo hapo hakijachukuliwa kitu.Wewe upo dar au mkoa upi?Na je una mdau ?Au wewe mwenyewe ndo mdau?.Ukiweka mawasiliano yako au ukini pm 2tapanga meng na kujuana vizur.
Najua sana miamba ya maeneo hayo Mkuu tangu hapo njia panda ya kwenda Mwalazi hata nyuma yake pale kuna uchimbaji wa mawe fulani. Kuna jamaa hapo Mwalazi shuleni, Kabega jaribu kuongea naye. Mie nitakutafuta tu, pia fika maeneo ya Matombo nako kuna jamaa wapo kihivyo lakini siyo rubi.
 
Back
Top Bottom