herrypeter1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2009
- 223
- 29
Wakati wa ukoloni wawekezaji walio kuwa wanakuja awakuajiri wazawa kutokana kuwa walisema atuna elimu, Ni kweli watanzania wengi tulikuwa atuna elimu na wale walikuwa na elimu ilikuwa ni rahisi kupata ajira, ila sasa wanasema BAADA YA WATANZANIA KUWA NA ELIMU WANAITAJI EXPERIENCE NA WANARETA WATU KUTOKA KWAO KUTOKANA ATUNA EXPERIENCE, JE TUTARAJIE NINI BAADA YA EXPERIENCE? ILI TUJIAANDAE