Mwanzo wa mwisho wa PROFESSOR JAY..wa MITULINGA the HEAVYWEIGHT MC..!!??

Jamaa ni mgonjwa wa KISUKARI ila dodoso za chini chini zinasema ana ngoma! ndio maana hakutaka kuoa mpaka leo!
ee mungu wa israel tunusuru!

Kuna wimbo wa kalapina unaitwa beef kuna mstari unasema

"Acheni uch.o.ko mabinti wa ving'oko na mgoroko dudubaya,Jay nakuonea huruma najua una miwaya virusi alivyokupa mal.aya aliyekufa kule tanga"

Source:http://www.eastafricantube.com/media/68533/KIkosi_Cha_Mizinga_-_Beef_(Dudubaya,Fid_Q,Prof_Jay,Babuu,Chidi_Benzino_&_Many_More_Diss)/
 
Alikuwa bize na kujenga ana mjengo wa nguvu hapa bongo naona atajipanga tu mpeni muda.
 
kila kitu hua kina mwanzo na mwisho!,
ikumbukwe mziki haswa wa bongo fleva huwezi kuimba milele, iko siku utachuja, umri utasonga inabidi kupiga ishu zingine, means mziki unabaki tu kua kama hobby na sio kazi ya kuitegemea kama ajira.
mimi kila nikimuangalia Prof. Jay namuona kabisa anataka kufuata nyayo za Sugu kwenye siasa ingawa katika interview zake na media mara nyingi huwa anakataa kukubali hilo!.
ile mistari yake mikali ya kupinga serikali haipo tena, siku hizi anaimba vikopakopa tu, KAMILI GADO, imetulia!!.
 
Matunda ya ruge katika jitiada zake za kuitokomeza HIP HOP lakini vijana wapo tutasimama daima HIP HOP 4ever!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kila kitu hua kina mwanzo na mwisho!,
ikumbukwe mziki haswa wa bongo fleva huwezi kuimba milele, iko siku utachuja, umri utasonga inabidi kupiga ishu zingine, means mziki unabaki tu kua kama hobby na sio kazi ya kuitegemea kama ajira.
mimi kila nikimuangalia Prof. Jay namuona kabisa anataka kufuata nyayo za Sugu kwenye siasa ingawa katika interview zake na media mara nyingi huwa anakataa kukubali hilo!.
ile mistari yake mikali ya kupinga serikali haipo tena, siku hizi anaimba vikopakopa tu, KAMILI GADO, imetulia!!.

Hawezi kabisa kuthubutu kufata nyayo za sugu maana anayaamini sana mawwazo ya ruge ndo maana hata siku moja hawezi kuwa kama alivyokuwa wakati akiwa mwana harakati wa kweli!!!!!!!!!!!

Sent from my hart
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom