Mwanzo mzuri: CCM kura 36,000+ Mpaka 26,000+ na CHADEMA kura 0 mpaka kura 23,000+

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri
 
Wenye macho wameona, wenye kutafakari kwa makini wametambua, na wenye kudadavua yaliyofichika wanaelewa kuwa asubuhi yaja baada ya kiza kinene; naye aliyeweka makazi yake ccm afunge virago mapema na atokomee, au la ajiunge na mkondo wa mabadiliko.
 
Kazi imelala hapo sasa nasubiri nione Kimbembe cha 2015
 
Na bado wanashangilia wameshinda!Wangekuwa na akili baada ya matokeo igunga wangeanzisha "vua gamba phase II'baada ya phase I kushindwa.
 
CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri

CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane na kutumia mabilioni ya shilingi na kuhamishia serikali na dola Igunga
 
kwa sisi tuliosoma hisabati, ukichora graph ya CCM, CDM, NCCR, CUF tangu 1995 - utagundua yafuatayo

a) Kuna vyama 2 vinavyoelekea kufa - tena kifo cha mende. ( CCM na CUF Bara), Sababu kuu ni UMAGUMASHI wa kisiasa uliokomaa.
b) Kuna chama kimoja ambacho kina uelekeo mzuri (focus and vistion) na kina uongozi madhubuti, kipenzi na tegemeo kuu la watanzania - CDM
c) Kuna chama ambacho kinahitaji kufanya mabadiliko ya uongozi wa juu & sera ili kiweze kukubalika kwa wananchi walio wengi. - NCCR.
 
Na bado wanashangilia wameshinda!Wangekuwa na akili baada ya matokeo igunga wangeanzisha "vua gamba phase II'baada ya phase I kushindwa.
bila kuhonga mahindi kwa wapiga kura - wangepata kama zile za CUF - teh teh teh
 
CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri

Huu haukuwa uchaguzi wakutafuta idadi ya kura ulikuwa ni uchaguzi wakutafuta Mbunge, kwa maana hiyo lengo halikutimia. Sasa unaposema mwanzo mzuri sijui nn kama lengo lilikuwa ni kutafuta idadi ya kura si mgeitisha kura ya maoni basi mngefanikiwa kujua idadi hiyo. Msijifariji hili la igunga ni bao la kisigizo , na mlivyo tegemea sivyo. Mlikuwa kila siku mnatoa takwimu zenu humu ndani sijui tutashinda 74%, 55% nk sasa yameishia wapi na kuja tena na mambo ya kura ?
 
Mzee nado hamjaona kuwa Chama chenu cha Mafisadi kinajipotezea umaarufu kila kukicha? Tulikuwa tunalisaka jimbo sawa lakini pamija na yote na uchakachuaji mulio ufanya Bado tu munajisifia eti tumelichukua jimbo,, Haya mumewasaidia nii wana Igunga? Miaka 50 ya huhuru hii mumefanya nini, Hizo no kauli za watu wasio kuwa na akili timamu kulee Mirembe
Munatakiwa mujisifie kitu ambacho mmekifanya kwa wana Igunga na Tanzania kwa ujumla na si kulichukua Jimbo,, Mmetumia Gharama kubwa sana katika uchaguzi kuwavalisha ijabu hadi Wakristu ili tu mukichafue chama Cha Chadema mbona CUF hamku kitaja? Ila mimi sikulaumu kwasababu nyie hamko kwaajiri ya maendeleo bali mpo kaajiri ya kuchukua wabinge watakao fanya kazi yya kuwazomea watafuta maendeleo kule Bungeni
Huoni aibu?
 
Back
Top Bottom