Mwanza: Wenje aiteka igoma leo

Bukutonaga

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
246
46
Leo katika viwanja vya Igoma Umati mkubwa sana ambao watu hawakutegemea kutokana na sumu ilo kuwa imeenezwa kwa wananchi kupitia madiwani wawili waroho wa madaraka nzuri zaidi wananchi wameelewa na wanajua pia wameunga mkono maamuzi yalifikiwa juu ya hawa waroho.

Wananchi walifurika kusikiliza sera na mambo ambayo Mbunge wao alikuja kuwaambia kuhusu yalojili bungeni na pia kawasisitizia kuwa tume ya katiba inakuja mwanza so wajitahidi kwenda kutoa maoni yao kwa kweli ameongea mambo mengi sana kuhusu jimbo lake hasa maendeleo yalofanyika katika kipindi cha miaka miwili kasoro tangu CDM ishike usukani ndani ya jiji la mwanza.

Nawasilisha!
 
Wenje ni jembe na anakubalika sana lakini sio wale wanafiki wakina chagulani na Henry ambao ni wapumbavu na kujifanya eti wenyewe ni taasisi binafsi.........

Wenje piga kazi kamanda na sisi tupo pamoja kulikomboa taifa letu.
 
Kamanda wenje songa mbele wala usiyumbishwe na hivi vibaraka sijui changulani na matata eti ni taasisi binafsi,stupid kabisa.
 
chagulani anapeleka malalamiko yake kujadiliwa kwenye makundi ya chama chetu! halafu anacheza na big boys wa mboga ambao wamemzidi umri na kiuchumi. Mtoto namuhurumia sana yule..
 
Wenje chapa kazi, achana na hao ambao hawajulikani kama ni moto au baridi.
 
Wenje hamuwezi chagulani hata kidogi,iwe kwa hoja au mvuto kwa jamii.

Chagulani na wenje ni watu wawili tofauti sana kwa level zao Wenje ni wa jimbo na Chagulani ni wa kata pia kuhusu kuzitumikia katiba za chama nani ni muumini mzuri kama ukijibu hapa tunaweza kuendelea na maada maana kumbe waweza kusema Fisi ni bora kuliko mbuzi kumbe unasababu zako ongofu!
 
Back
Top Bottom