Mwanza vyaumana tena polisi na nguvu ya umma

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Katika pita pita zangu kitaa nikakuta magroup ya watu kibao maeneo ya Nyakato Nation nilipofika maeneo ya Mwatex ndio jamaa wakasema kuwa mwanajeshi alikuwa na pikipiki akapigwa na Mapolisi so raia ndio wakaingilia kati yaani ni mshikemshike polisi na risasi na raia na mawe yaani ni full balaa wakati narudi ndio ikawa issue mabomu ya machozi maeneo ya mwatex yamepigwa raia wanakimbizana na askari raia wanarusha mawe ni balaa hata risasi hazioni ndani, mpaka ikabidi turudi tuliko kuwa coz njia haipitiki. mpaka naingia mtamboni.
 
mimi nasema ivi wana-mwanza ipo siku kitaeleweka aisee huo ubabe wa polisi na hao watawala wao
na huu umeme wa mafungu ya siku 2/3- wataeleza awa kina jk,mana kila mtu mute tu wanajua tunaishije?
 
chezea washashi ww,watadaka izo risasi/mabomu mbona ipo siku
kule watu hawaogopi nini wala nini wakiamua kitu aisee,sio uwoga na tai za wasomi

jamani juzi apa wameua watu (machinga) vs wahindi wanahaha tu kuhonga leo tena?
 
Back
Top Bottom