Mwanza umeme wawaka zaidi ya 24 hrs bila kukatika

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
katika hali ya kushangaza, maeneo baadhi ya jiji la mwanza umeme umewaka kwa zaidi ya 24hrs bili hata kukatika. Ilikuwa ni juzi umeme ulikatika, ulirejea majira ya saa sita na haukukatika mpaka sasa.

Kwa jinsi walivyozoea wananchi kuna wengine walifunga biashara zao mapema kwa kuamini umeme utakatika baada ya mda mfupi kwani walishinda na umeme. Mazoea kweli yana taabu.

je hii inaashiria kuisha kwa mgao au ngeleja kasahau kukata?

Source: Direct observation and experience (primary data)
 
Asante kwa taarifa,ngoja tukate tupeleke arusha.
 
Back
Top Bottom