Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

Mwisho kabisa kadi za CCM zilirejeshwa na kuchomwa[/QUOTE]
Nimpenda kwa kutomjibu NAPE hii inaondoa kabisa siasa za maji taka thanks

Vipi kadi kwa wastani zilikuwa ngapi ?
Na walio leta hizi kadi walipata mpya za CDM
 
Mwisho kabisa kadi za CCM zilirejeshwa na kuchomwa
Nimpenda kwa kutomjibu NAPE hii inaondoa kabisa siasa za maji taka thanks

Vipi kadi kwa wastani zilikuwa ngapi ?
Na walio leta hizi kadi walipata mpya za CDM
[/QUOTE]
Amekula posha kwaajili ya kuchoma moto kadi mbili za CCM, hiyo posho apeleke kijijini kwao wapate hata mlo wa mchana.
 
Mkutano umeisha salama katika viwanja vya magomeni Mwanza,wanamwanza wasema hawataki mazowea na sisi emu.Mtaniwia Radhi picha hizo nizacmu.Nawakilisha.
View attachment 39613
View attachment 39612

View attachment 39614

mkutano huu haujatangazwa sana, ilikuwa kimyakimya lakini watu wameitikia. NAPE alitangaza siku tatu kabla lakini still walimchunia. Huu wa CDM, wengi hawajapata matangazo yake, niliporudi toka job, nilikuwa nikiwauliza mbona hawajaenda kwenye mkutano, wengi walikuwa hawafahamu.

CDM kimekomaa, watu tuna imani nacho, tujihadhari na wenye nia mbaya wasijechelewesha uhuru wetu wa kweli tunaoutarajia 2015.

CCM wamechoka, ndo maana hata picha hawakuweka hadharani kwani ingekuwa aibu tupu zaidi ya aliyoipata Nape
 


kwa jinsi Nape, Ritz1, Mwigulu,Rejao wakiona picha, watasema wametumia za mikutano ya mwaka jana kampeni. CCM wana shida sana 2015. kinachotakiwa ni kujipanga, mara daftri litakapofunguliwa, vijana wote, wazee ambao hawajawahi kujiandikisha, twende tukajiandikishe. tWENDE TUKAHAKIKI KAMA MAJINA YETU NDIVYO YANVYOSOMEKA, tuhamasishe na wengine vijana wajiandikishe. 2015 lazima kieleweke simple tuuu
 
Kitu nilichokigundua humu jamvini 99% wanaoipinga Chadema ni CUF na wala si CCM. Sijui ndo kusema wanataka waonekane wanauchungu sana na Mume wao au vipi!

siunajua mkuu mtu chunga chako,dahaa mwanamke anawivu huyo,hakuna wakumwibia mkewe magamba.lol
 
Kuna mkara mmoja amelalamika sana, anasema ameenda kwenye huo mkutano ili apate hata kofia lakini kaambulia jua tu.
 
Back
Top Bottom