Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

@ritz, kugawa vitu/misaada hakumkomboi mtu, kwani leo utagawa kesho hutaweza kugawa.leo hii tuna maisha magumu kwa kuwa CCM 2005 na 2010 waligawa T-SHIRTS, KOFIA, KANGA ili kubadilishana na kura za wananchi.

Wengi wao, nguo hizo hawajawahi kuzivua kwa kuwa hawana nyingine. lakini kama wangewezeshwa kiuchumi, kwanza wasingepokea, na wangekuwa na uwezo wa kujitegemea. waliuza SILKA yao kwa nguo za CCM .

kinachotakiwa ni kuwa na miundo mbinu inayomwezesha kila mtu kufanya kazi na kupata chakula kwa jasho lake mwenyewe. J.K kapumbaa na kukosa ubunifu kwa kuwa yeye anaamini maendeleo yatapatikana kwa kutembeza bakuli, kuomba misaada. hiyo ndiyo inayotugalimu.

Kitendo cha Lissu kuja Mwanza, wengi watapata elimu ya uraia, wengi watatamani 2015 ifike ili wachague uongozi wanaoamini utatatua kero za mda mrefu na hata upungufu wa chakula kwa walio wengi

Haya maneno usemayo ni kweli na hakika, lakini kwa watu dizaini ya RITZ (a.k.a magamba) ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze.
 
Ndio tatizo lenu mashetani wakubwa nyie. mnafikiria uchaguzi ujao kila baada ya uchaguzi Mmoja
hakuna lolote mnalofanya.

Mnatoa ahadi nyiiiingi utafikiri mtoto anajifunza kuongea. Laana kumu
 
Ccm ijiandae kisaikolojia kuwa chama cha upinzani, kipishe chama cha ukweli kwenda. Kuunganisha nguvu ya mtanzania katika kujiletea maendeleo.
 
Aibu Kwa Magamba!! Wamekosa Strategies Hadi Wanafanya Mikutano Katika Stendi za Mabasi ili wasafiri Waonekane ni sehemu ya Mkusanyiko Wao!! Shame on Magamba na Nape!! Nadhani imebakia Siku Chache Tu watakuwa Wanafanya Mikutano Yao Kunako Makanisa Na Misikiti!! (Nyuma za Ibada ili wapate wasikilizaji wa Pumba Zao) Sasa Huyu Nape sasa nashindwa Kumwelewa!! Yeye ni Mtendaji au Mtunza sera? Hizo siasa zao za Kununua watu Zitafika Mwisho siku sio Nyingi!!
 
ccm mnaonaje kama mtawaomba CDM ili ku-share experience za kuwa chama pinzani, maana upinzani unawanyemelea!!!!!!!!!!
 
Nipo mwanza..but nipo kiproffessional zaidi. Ngoja nimalizane na hapa PPF then niende kusikiliza hizo pumba za huyu jamaa. Sijui ataanzisha tena maandamano!!

kama unaogopa hapo kwenye red bora ubaki maana inawezekana likaanzishwa tu endapo polisi wataonyesha udhaifu wa namna yoyote ile!!!!!
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!

Mpaka kufika 2015 yatawashuka
 
Mkutano ndo umeaznza wa2 wanazidi kumiminika. Colortouch studio042.jpg Colortouch studio040.jpg Colortouch studio043.jpg Colortouch studio044.jpg
 
Kwa hili sisi emu mwanza watuache 2fie cdm.Tindu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni Mwanza leo,Wa2 nyomi mapema mapema.NAWAKILISHA
ALVFdBkFFABS0AJS0AJ
wBVPt7noD1700wsJcBSN4YemBUMgXaBkcVMtwRGTlQDQFOCccCkMGcZ4AFNHzkjOBQAqwsVLKpIXkn0ppOKEI6ig8UyiNnxgdc1CXKv1ODSEOMhK5GD+NVSDvD5zzREC1bcoQ3WpzjHTNCGQOSrdN2T2OajjfY5z0x2oYkPkIkj7EimIRG2OQa
jNP3A446VLGIc9uBTQc5xz60gEJ4pm70pgP3etLI3zZ55pFxNqitjEKKACkpgFFABRQAUlABRQAUUAFFABSUAFFABRQAUUAJRQAUUAFFABSUAFFACUhAPUZpAVLiI7wUT8RUeGHDgjHOcVLRSIHwTn9BSKw9KkYpcls5oLZxQgHKPkLdvapVbaOMGkBDJIGY8GmBueABTAnjtpHO5gee5NTfZGx978KrlJuTxxKnQc45qSqEFISAMk8UARTS7MYPPf6U1J+rN0PSi4xzXCK2D+YqM3R3cAY96TYWIzId24Hk0ounB5waVx2F+1t3AoNwWcFeg7UXCwPctngYpv2lyQfTtRcLEy3IKZx81QmeQHuM0XCwxmYnk0isykEHmlcBW

Na kweli nyie mtafia cdm na sio nyie tu mpaka na familia zenu. Mwisho wa mkutano mtasikia maniomba ccm iwafanyie hayo kwani ndio chama chenye dola na mamlaka. Kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji
 
Mkuu Rejao, angalia sana hayo maeneo kirumba magomeni ndio maeneo ya wahuni na wauza unga kuna mateja sana wasije kukupora vitu vyako..

Wauza unga wote wa mwanza ndio wanapatikana hapo

umeona wahuni wa libya walichomfanya Gadafi..
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!

furahisha ni mikutano ya mwakasege sio Chadema.
 
Lissu katoa historia ya Kanda ya Ziwa utadhani mzawa wa hapa! Na kasema hawez kujibu matusi ya Nape kwani hiyo ndo bidhaa ya Ccm.
 
Ha! Ha! Ha! Kachanganyikiwa njaa mbaya mimi nipo Arusha mpaka jumatatu, nimefikia pale Kibo palace hotel kwa mwana chadema yoyote anataka kuonana na mimi namkaribisha
Kwaninavyo ufahamu ufukara wako usigekuwa na ubavu wa kufikia Palace Hotel, acha kujikweza we kibwengo.
 
Back
Top Bottom