MWANZA: Mbowe, Patrobas, Mwakajoka na wanachama kadhaa wa CHADEMA wakamatwa na Polisi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899

Katibu mkuu Bavicha Julius Mwita ametiwa mbaroni na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kusalimiana na wanachama wa Chadema kwenye vijiwe kadhaa eneo la Igoma centre jijini humo.

IMG-20160612-WA0049.jpg

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde......

UPDATES:
Mkiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Vijana Taifa Patrobas Katambi, Katibu Mkuu wa Vijana Taifa Julius Mwita, Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka, viongozi wengine wa chama na wanachama wengine, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo cha Polisi Nyakato, jijini Mwanza. Hadi sasa hakuna maelezo ya sababu ya kushikiliwa kwao. Tangu asubuhi Mkiti wa Chama Taifa Mbowe na alikuwa akizunguka katika maeneo kadhaa ya jijini Mwanza kuwasalimia wananchi katika 'vijiwe' mbalimbali jijini humo.

Tumaini Makene

NOTE: Wameachiwa Huru Mdaa Huu saa kuminumbili kasoro dakika ishirini
 
Katibu mkuu Bavicha Julius Mwita ametiwa mbaroni na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kusalimiana na wanachama wa Chadema kwenye vijiwe kadhaa eneo la Igoma centre jijini humo.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde......
Je zikitolewa taarifa tofauti na hizo tukufanye nini?
 
Katibu mkuu Bavicha Julius Mwita ametiwa mbaroni na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kusalimiana na wanachama wa Chadema kwenye vijiwe kadhaa eneo la Igoma centre jijini humo.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde......

Walisalimia vijiwe au walikusanya mikusanyiko ya kisiasa isio halali wakaita kijiwe badala ya mikutano wa kisiasa? Kuhutubia wakakuita kusalimia?

Kubandika majina ya kuokoteza mikutano ya kisiasa haramu hakubadilishi kuwa hiyo si mikutano wa kisiasa! uite kiKao,kongamano,mdahalo nk hakubadilishi.Kuhutubia uite kusalimia!!! ni ujanja wa kitoto
 
Kusalimia watu katika kijiwe nalo ni kosa? Na wengine katika kijiwe wamekamatwa?
 
Katibu mkuu Bavicha Julius Mwita ametiwa mbaroni na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kusalimiana na wanachama wa Chadema kwenye vijiwe kadhaa eneo la Igoma centre jijini humo.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde......

Amepigwa mbata au hajapewa? Kwa maana hiyo ndiyo naombea siyo wawakamate tu bali wawape na mbata juu!
 
Katibu mkuu Bavicha Julius Mwita ametiwa mbaroni na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kusalimiana na wanachama wa Chadema kwenye vijiwe kadhaa eneo la Igoma centre jijini humo.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde......
kavunja amri ya polisi.utii sheria bila shuruti ni muhimu
 
Back
Top Bottom