Mwanza Kwawaka Moto

Watakimbilia Saudi Arabia.

Hilo JINGA lilifikiri litaenda kula kuku Canada. Pumbavu kabisa.

Inabidi hata akina Ridhiwan wakimbilie Saudi Arabia na wakifika huko, watashangaa wanavyitukanwa Mitaani kuwa NYANI HAO. Sijui kama watasema tena UDINI huko maana kama ni dini, huko ndiyo imetokea.

AKina Mkapa na Anna wake, Mramba, Lowassa ndiyo watakuwa na hali mbaya.

Nina hamu sana kumuona Lowassa akiwa kwenye Kigari kama Babu Seya. Ridhiwan na baba yake watapendeza sana wakionekana na Babu Seya. Najua huko ndani, Babu Seya atatembeza kipigo si cha kawaida.

Ngereja, Rashid, Mkono, IMMA Advocate na hiyo ya Dowans, nazo hizo zote lazima wapande kizimbani.

Mwisho kabisa, ntataka Makamba wampeleke Musoma maana huko aliwapa alama ya F**k you. Wale jamaa wakimkamata Makamba akiwa peke yake, watamfundisha adabu na baada ya hapo, anaweza kuruhusiwa kwenda kwao Tanga kusubiri kufa. Mwanae na akina Ruge, watakuwa ni mali ya vijana wanao-RAP wakiongozwa na Sugu. Ruge na Kusaga wake sasa hivi watakuwa na hali mbaya sana. Waendelee tu kumtukana Slaa huko kwenye Radio zao.

TUTABANANA MWAKA HUU HADI KITAELEWEKA.

Mkuu hakuna kwa kukimbilia siku hizi angalia hapa chini .... .... .... .. hawa tunao tu .... na ni lazima wanyee debe .... ......


Chacha njomba hakuna kwa kukimbilia, I am just waiting for that day .... ...... very soon .... .......soon indeed.
 
naunga mkono hayo yote.vijana tujiunge na hawa wapigania haki.wanoweza kupigania haki muda ndio huu na masikini huna cha kupoteza hivyo ni lazima tupambane mimi nipo mbele wengine mnifuate ni vitendo tuu.
 
Mji wa Mwanza leo umezizima kwa masaa takribani matano baada ya Wamachinga kuteka mitaa yote ya katikati ya jiji. Uongozi wa Jiji la Mwanza umevunja vibanda vya Wamachinga katika operesheni maalumu na Wamachinga wamejikuta wakilazimishwa kuhamia umbali wa kilomita kama kumi hivi ili kuanza makazi yao mapya ya biashara. Hata hivyo, hali haikuwa kama ilivyotarajiwa kwani uongozi wa Halmashauri ya Jiji hili umejikuta ukipata changamoto kama lile la Tunisia na Misri... ingawa hapa hakuna waliojitoa muhanga na kujichoma moto lakini wamegomea amri ya kuhamia makazi mapya. Leo tangu asubuhi Wamachinga wamekuwa wakipora maduka yaliyo wazi hasa ya Wahindi na kuvunja vioo vya magari yanayopita hususan katika barabara kuu kama ya Kenyatta. Je, Watanzania wamechoka na maisha ya dhiki ya kila siku? Je, viongozi wa ngazi za juu hawasomi alama za nyakati?

kazi ipo mwaka huu:coffee:
 
We are living in the world where accountability is a necessity to everybody. Haya mambo ya kufikiri nikiharibu hapa ntakimbilia Ulaya yamepitwa na wakati.Labda wakimbilie North Korea. Huko am sure hakuna atakayewagusa.
 
We are living in the world where accountability is a necessity to everybody. Haya mambo ya kufikiri nikiharibu hapa ntakimbilia Ulaya yamepitwa na wakati.Labda wakimbilie North Korea. Huko am sure hakuna atakayewagusa.
<br />
<br />

Pressure itawasaidia kwa kuwakimbiza kaburni, natumai huko watakuwa na ahuheni kiasi kabla ya Baba wa haki hajaita mafaili yao ili apitishe hukumu ya haki. Kwa haya wanayotutendea hapa duniani yaani pamoja na rasilimari zote alizotuwekea Mola ktk ardhi ya nchi yetu bado tunaishi kana kwamba hatuna kitu hata kidogo, yaani wameamua kuuza na kuwathamani wageni kama sisi siyo binadam kabisa, sijui atawapa hukumu ya namna gani! Any way, tunaelekea ktk msimu wa ukombozi kutoka ktk minyororo ya mafisadi
 
Mambo mengine ni mipango miji tu, Kama tunataka majiji yetu yawe kwa mpangilio kwa nini tusikubali wamachinga watengewe maeneo maalumu. Suala kama hili ni la kimaendeleo, wadau husika wanapaswa kushirikishwa, Halimashauri zinapaswa kuwajengea vibanda huko wanapowahamishia, na isiwe mbali sana na wateja.
 
patam hapo, mzuka wa mapinduzi unapanda,viva la revolucion. Mkwereeee, siku zako zinahesabika, kimbia nchi haraka, rafiki yako james sinclays agent wako wa madin yetu huko marekani atakupa hifadhi wewe na akina miraji au tamil somaiya mwizi mwenzio nae anaweza kukuficha huko kashmiri india wewe na wale mabinti wanaosoma lushoto shule ya kikatoliki, kwanini huku wapeleka jabal hira au hal aramain?wamachinga tupo pamoja mpaka kieleweke.

shule za Kikatoliki zina faulisha sana,kwanin apeleke wanae shule za ulalamishi
 
ama kweli nimeamini kwa asilimia zoote, kikwete mkwere, aliiba kura,hakubaliki hata kidogo hebu ona yaliyotokea arusha,babati na mwanza ni ishara tosha kua hakua chaguo la watanganyika naomba kwa garama yoyote asimalize miaka mi 5. Na huyo mchawi wake shekh yahaya anaempa ulinzi wa jeshi la majini afe nae.
 
kwa kweli tabia kama hizi si nzuri nna viongozi lazima wawajibike ................haitoshi tu kusema kuwa mazingira yamebadilika................. lazima awepo wa kuwajibika kama kweli tunataka kufika tuendako................
 
half caste, nimekusoma, kumbe mkwere analitambua hilo ndio maana mabinti zake kawapeleka huko, sa kwanini anaendelea kuwa hadaa waislam wenzake kuhusu udini na ubaya wa wakatoliki, wakati watoto zake wanaingia kanisani kila asubuhi kabla ya kuanza masomo na jioni? Aache unafiki kuzingizia udini.
 
Back
Top Bottom