Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ukiachilia mbali hali ya hewa nzuri na usafi wa mji mimi sijui kwanini DSM ilikua sana kulinganisha na MZ. DSM kuna joto la kufa mtu kwanza, ukame, hakuna chakula cha kutosha nk. DSM kuna kila dalili ya ubaya ubaya. Kama jangwani vile ukiachilia mbali Bandari ya Mafisadi ambayo haina lolote ila mlundikano wa makontena.
Hivi ni kweli kuwa kuna hali ya uonevu kwa watu wa kanda ya ziwa kulingana na nafasi yake kijiografia na hali ya hewa?
Hivi ni kweli kuwa kuna hali ya uonevu kwa watu wa kanda ya ziwa kulingana na nafasi yake kijiografia na hali ya hewa?