Mwanume anakupenda, halafu wewe umemuweka kwenye friend zone permanently! Why?

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Habari Zyenuuuu!

Kama Kawa kama Dawa mimi niko Gado! Naendeleza kumtumikia Kafiri katika kutaka kutoka kimaisha!!!

Leo bana naomba niwaulize maoni yenu! Binafsi kuna wanaume wananipendaaa, they are super nice! Very Husband Material! lolest! Ila ndo nimewapiga BAN ya KUDUMU kwenye FRIENDSHIP ZONE! Dnt judge me! Atlest not yet!

Sasa nimewaza hivi inakuwaje, a Guy anakuapproach kwa swaga zote anataka MDATE na muwe na MAHUSIANO YA KIMAPENZI na anakuwa DIRECT KABISA WHAT HE IS EXPECTING! Mwanamke unalijua hili KABISA Ila kwa UMAFIA tu wa sisi wanawake wengi wetu, unaamua DELIBARATELY kuwa huyu SIMPI KITU KABISAAA! Haya umeamua humpi, fine! Muache aendelee kutafuta happiness, tunaona hapana! He is too good to let go, dawa ni moja tu, unambanish kwenye FRIENDSHIP ZONE PERMANENTLY.

Kwenye hii dunia ya URAFIKI TUU wanaume wananyanyasika sana sana sana. Yeye ndio wa kusahuri mahusiano yako, wa kuktoka nae ukigombana na BF, wa kila kitu! DAMN! Tena wengi wanatumikia kwa mda mrefu na utiifu mkubwa BUREEEEEEEEE! Alaf unakuta binti akiolewa wanakuwaga kwenye kamati ya Sendoff na Harusi kama MIZOMBI vile! Na anampongeza Bwana Harusi kwa Moyo Mkunjufu. Wengi wanakuwa na ujasiri wa kusubiria SIKU JUA LISICHOMOZE ambapo watafikiriwa upyaaa, ila REALITY ni kuwa Jua lazima lichomoze

Kuna vinganganizi wachache wanaobahatika KUBADILISHIWA VIFUNGO baada ya kutumikia FRIENDSHIP ZONE kwa muda mrefuu, na kuweza kuwazidi akili magereza wao, ila wengi huwa ni FUNGU LA KUKOSA!

Alafu these Guys wanakuwaga the VERY BEST, anaelewa unachotaka, yupo tayari kwa lolote ila ndo hivo tena HUVUTIWI NAE HATA! Sasa kinachonishinda kuelewa WHY?!!!

Mimi mwenyewe nimekuja kuandika haya hapa sababu ninayo hazina yangu ya MIZOMBI ya kutosha, japo leo nimekata shauri kuanzia kesho NIIFUNGULIE jumla jumla kwa KUMPA KILA MTU ZA USO kuwa hapa hamna kitu waendelee na michakato kwingine!

Pamoja na hayo roho inaniuma kama nini kuwa NAHANGAIKA kumtafuta THE ONE kila kona, wakati nina lundo la UNWANTED ONES alafu katika hao UNWANTED wote wanatafutwa na THE ONES wao!!! Yaani ni CHAOS THEORY!!!

INAKUWAJE UNAEMPENDA HAKUPENDI NA ANAEKUPENDA HUMPENDIIII!!!!!!
 
mie kuna mmoja hata hakati tamaa, tatizo ni kichenchede. hamna jinsi ningeweza kum-upgrade awe mpz, friend zone inatosha tena nimekata mawasiliano..
 
Sijisifii but sijawahi wekwa friendship zone..

i am always in charge
nikiona hakieleweki fasta nasepa....

Na kama mtu anakutaka kwa dhatii, na hakati tamaa humpigi BAN? Coz kumfukuza is unecesarly rude!!!!!
 
na max ni zombie au ze one?

HAHAHAAAA! HUSAHAU SHOSTI!!!! Akija kizombizombi ni BAN tu haina mjadala, kwanza ndo insurance ya kudumu nae!! LOLEST!!!!!

NB:THE OFFER STILL STANDS @ MM
 
Dah,i hope sichukuliwi hivi na friends wangu.
Inatisha.

Kuna friends friends without HIDDEN INTENTIONS, na kuna friends reject!! Yaani umekuwa rafiki baada ya kupewa cha mbavu na za uso!!!! Kitu cha BAD ROMANCE kutoka kwa lady Gaga kikuburudishe.
 
Siwapigi ban
unaweza wapa watu love na faida za urafiki
bila kutembea nao

Exactly my point, ndo BAN yenyewe hiyo to permanently RAFIKI TU. Wanachotaka unakijua fika, na unauhakika huwapi ng'ooo! They will never be more than a friend. hapo ndo mtu ashakaribishwa Friendship Zone!!!! Forever Second
 
Exactly my point, ndo BAN yenyewe hiyo to permanently RAFIKI TU. Wanachotaka unakijua fika, na unauhakika huwapi ng'ooo! They will never be more than a friend. hapo ndo mtu ashakaribishwa Friendship Zone!!!! Forever Second

Watu hubadilika
so friendship zone sio mbaya sana
unaweza sema huyu mtu smtaki leo
kesho akabadilika akakuvutia
women haswaa hubadilika ,wengine akizaa anakuwa mzuri zaidi..
na wanaume sisi tunaweza kwenda gym na kuongeza kipato
ukabadili uamuzi
so anything is possible
 
ule uzi ni kati ya top 10 zangu za mwezi huu, sitausahau mapema aisee.

Ha ha ha, ofa bado ipo?

Ila inakera pale mtu umemweka kwenye friends tu afu haelewi elewi.

Ila wengine unawafanya 'for flerting' only na sio for 'consumption'

na kuna wengine hata kabla hajaongea! ! :( ! !
HAHAHAAAA! HUSAHAU SHOSTI!!!! Akija kizombizombi ni BAN tu haina mjadala, kwanza ndo insurance ya kudumu nae!! LOLEST!!!!!

NB:THE OFFER STILL STANDS @ MM
 
Watu hubadilika
so friendship zone sio mbaya sana
unaweza sema huyu mtu smtaki leo
kesho akabadilika akakuvutia
women haswaa hubadilika ,wengine akizaa anakuwa mzuri zaidi..
na wanaume sisi tunaweza kwenda gym na kuongeza kipato
ukabadili uamuzi
so anything is possible

Naomba hili lisinitokee, maanake haya maisha bana dah!! Na si ajabu mambo yakawa upside down, yaani kipindi ambacho unaanza kumfeel ye ndo anaanza mapozi sasa! Lol
 
Friendship zone noooooo.......Aisee kiukweli kuna mmoja alidai kunipa option ya friendship nikachuna na kukata mawasiliano...kifupi sitaki friendship coz hailikuwa lengo langu la awali. Baada ya muda amerudi kwa nguvu na dalili zinaonyesha amesalimu amri
 
Kuna friends friends without HIDDEN INTENTIONS, na kuna friends reject!! Yaani umekuwa rafiki baada ya kupewa cha mbavu na za uso!!!! Kitu cha BAD ROMANCE kutoka kwa lady Gaga kikuburudishe.

Mimi nikipewa cha Mbavu nasepa fasta. I dont entertain friendship baada ya mtoso, mambo ya kusubiri mkono uanguke kama fisi sifanyi
 
hii sredi hii?!

Sidhani kama ni wanawake wote wanaokuwa na priviledges za kutosha kuwa na msururu wa wanaume marafiki tu

Wengi hawana bahati hiyo ya kuwa na sample kubwa ivo eti wawe wanakuwa marafiki mazombie tu!

In reality, kama mwanamke una qualities za kuwa mwanamke biologically utavutia wengi. Socially kama huna qualities zinazo augument biological qualities zako huwezi kuwa wife material. Then kunaweza kuwa na tendency ya kuwaona wanaume wanakupapatikia kumbe ni natural instincts tu...thats why unajikuta pia humpati "the One" kama ulivoainisha hapo juu

so usipoangalia, unaishia kwen 'zero sum' game.

That said, wengine tukiona ivo ndo tunasepa fasta kama alivosema The Boss hapo. Tabu ni kwamba kwa kufahamu hayo unakuwa less likely kufanywa zombie unless una uhakika wa kumega sometimes somewhere and soon. Habari ya kuwa a crying shoulder bila benefitn yeyote huku unaning'ong'a inahusu?
Kongosho uko wapi? Asprin kaadimika hapa jamvini!
 
Last edited by a moderator:
ule uzi ni kati ya top 10 zangu za mwezi huu, sitausahau mapema aisee.

Ha ha ha, ofa bado ipo?

Ila inakera pale mtu umemweka kwenye friends tu afu haelewi elewi.

Ila wengine unawafanya 'for flerting' only na sio for 'consumption'

na kuna wengine hata kabla hajaongea! ! :( ! !

Mwanamke MPANA wewe kama MEZA YA KAMARI!!!! Ndo umeiweka TOP TEN? Sasa mi pale bora kanipa cha mbavu kuliko FRIENDSHIP ZONE!!!! LOLEST! Ila kila siku nikikuta PM mpya lazima roho idunde kidogo! LOL!! Yule sijamshindwaa hapa kwa kungwi asingechomoa sema ANAWAJUA MTACHONGA SANAAA so anangoja msahau kidogo maana MODS nao wapo standby KUCHUNGULI PM ZANGU ili wapate ukweli isijekuwa kesha PM anawazuga!!!!!!! LOLEST!!!!

Najua ningeendelea KUMMWAGIA SWAGA ANGENI BAN!!! LOLEST!!! Juzi nimemuona in person HE IS EVEN HOTTER, ngoja nifunge bakuli langu!!!!
 
Back
Top Bottom