Mwanri usithubutu kuwawajibisha wakurugenzi wa halmashauri ....!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
juzi kwenye kikao cha kujadili hoja za kamati teule za bunge nilimuona naibu waziri wa Tamisemi bw. Aggrey Mwanri akiomba serikali kupewa nafasi ya kumwajibisha mkurugenzi wa halmashauri zilizohusika na ufisadi.
Kwa maoni yangu hatua hii haitakuwa sahihi iwapo mawaziri wahusika hawatawajibika au kuwajibishwa kwanza.
Kuna madudu makubwa yanafanywa na serikali kuu(wizarani) hivyo si busara kukimbilia kuwawajibisha wakurugenzi wa halmashauri kabla ya kusafisha wizara.
Msumeno ni lazima ukate kotekote.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Waanze na pinda

lazima waanzie juu kuelekea chini.kama mawaziri hawajawajibishwa sioni umuhimu wa wakurugenzi kuchukuliwa hatua.itakuwa ni uonevu kwa watendaji kutoka kwa wanasiasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
wakurugenzi wa halmashauri mnaficha mengi sasa ni wakati wa kufunguka!kila mtu afe na lwake.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah nchi hii ni bure kabisa siku hizi, hakuna hata litakalowezekana, ni kelele tu hizo, na likiwezekana la uwajibikaji basi tutasikia mengi, watatoleana siri zao mpaka tutabaki vinywa wazi.
 
Back
Top Bottom