Mwanri [naibu TAMISEMI] ampiga stop Masaburi kuvunja bodi ya DDC

Ukiona maamuzi yanachelewa au matamko yanakuwa mengi ujue ishu ishakuwa ngumu,kwani ya jairo yameishia wapi?

Jairo aliwakejeli wabunge kwamba ni kama waigizaji wa vichekesho a.k.a comedians

Masaburi amewakejeli wabunge kuwa wanafikiri kwa kutumia m.a.ka.l.i.o

Lazima watakuwa na nguvu fulani nyuma yao

On my side namuona kama mpambanaji japo hili la UDA linamtia doa kidogo jinsi alivyolipeleka faster,lakini haiwezi kujustify kuwa UDA was clean before Masaburi.

Tumuunge mkono Masaburi ana dhamira ya kweli,na kelele nyingi anazopigiwa ni za kumtaka asiwafikie huko kwenye maslahi yao na madudu waliyofanya.

Huyu Didas Masaburi ni mwizi na fisadi wa kutupwa hata kugombea hicho cheo, dhamira yake sio kuwahudumia wananchi wa DSM bali kuwa karibu na chungu cha fedha zitakazoingia jijini ili aweze kukomba; ushahidi ni jinsi alivyotumia fedha nyingi kuhonga madiwani wakati wa kugombea nafasi hiyo, akitegemea kuwa akishinda atazirudisha kwa njia za kifisadi!! Utawala bora kama upo, unashurutisha Masaburi asimamishwe kazi wakati uchunguzi unaendelea wa kashfa ya UDA.

Kashfa ya Meya ni ipi? Mbali na so called kukiuka taratibu za kisheria kuna kipi kingine?Tuache tabia za kudandia mambo, hiyo UDA imeanza kufa leo?je tunaweza kulinganisha hujuma kubwa zilizofanywa kwa mali za jiji la Dar es salaam na haya anayofanya Masaburi.

Kosa la kisheria kila mtu anaweza kulifanya na sishangai haya kutokea Jiji la Dar es Salaam kwani hata waliokuwepo aidha bodi zao ama viongozi nao wapo kinyume cha sheria.Kumbuka kamati ya Mheshimiwa Zitto ilivyotimua Bodi isiyo ya kisheria ya soko la Kariakoo.

Turuhusu vichwa vyetu vifanye kazi badala ya kuzibwa na mawazo potofu,kisa sauti kubwa ya kuuzwa kwa UDA ndiyo imeingia katika vichwa vyetu na kufuta mabaya yote iliyotendewa UDA kabla ya kuuzwa.

Acha ushabiki wewe au huyo Masaburi unampaga yale anayotumia kufikiri. Unavyomshabikia...!!!

Kwa misingi wa utawala bora, nilitegemea Dr Masaburi awekwe pembeni ili kupisha uchunguzi 'huru'.

Kwa wanaomjua Dk Didas Masaburi, ndugu wa damu wa mhe Makongoro Mahanga, wanakumbuka kile alichokifanya alipokuwa mmoja wa vigogo wa kiwanda cha Kibuku, alafu wakumbuke wakati mradi wa mabasi ya wanafunzi wa dar es salaam uliokuwa chini ya umoja wa vijana wa ccm, nani alikuwa mwenyekiti wa umoja huo mkoa? Leo atakuwa na uhodari gani wa kusimamia shughuli zote za jiji? Tunaomjua, tuliguma na kuinama vichwa pale alipopewa umeya!

On my side namuona kama mpambanaji japo hili la UDA linamtia doa kidogo jinsi alivyolipeleka faster,lakini haiwezi kujustify kuwa UDA was clean before Masaburi.

Tumuunge mkono Masaburi ana dhamira ya kweli,na kelele nyingi anazopigiwa ni za kumtaka asiwafikie huko kwenye maslahi yao na madudu waliyofanya.

Kama kuna watu wanaugua minyoo duniani wewe uko kwenye top 3.
Ushaambiwa Masaburi ni ndugu wa damu wa lile joka la mdimu lililofoji PhD na kujiita eti Dr.Makongoro Mahangah kumbe undergraduate lilipata GPA ya 2.5

Sasa makongoro ni makalio tangu ubunge hadi unaibu alionao ameupata kwa makalio maana aliiba kura za shujaa Mpendazoe.
Sasa ndugu wa makalio ni nani?

tusubirie mengi zaidi kwenye move hii maana wanajuana kila mmoja madudu yake yetu macho na masikio

jamani tunaomba mwenye waraka wa majukumu ya meya ili tuone na tujadili kama masaburi au waziri nani yuko sahii katika uvunjaji wa bodi hiyo

watendaji wabovu nchi hii wanajuana acha waendelee kupingana but c tunachotaka ni maendeleo ya jiji letu na taifa letu kwa ujumla.

kwaza tuwafundishe kazi,,,, yeye angeachwa avunje kama amekosea achukuliwe hatua kwa kukulupuka. pili imekuwaje kiongozi wa umma tena meya hajui mipaka ya kazi yake au mnaomzuia mna maslahi binafsi na watu walio kwenye body?

Back
Top Bottom