yahoo JF-Expert Member Sep 9, 2011 3,527 1,405 Jan 30, 2012 #1 mwnamke aliyejifungua kwa operation *akipata mimba ndani ya mwaka,hususani miezi kumi inamadhara gani?
mwnamke aliyejifungua kwa operation *akipata mimba ndani ya mwaka,hususani miezi kumi inamadhara gani?
Victoire JF-Expert Member Jul 4, 2008 24,133 56,576 Jan 30, 2012 #2 Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa.
Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa.
yahoo JF-Expert Member Sep 9, 2011 3,527 1,405 Jan 30, 2012 Thread starter #3 Fe Lady said: Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa. Click to expand... asante dada manaake nikiisi wifi yako,anamimba huaga napata presha.vipi kwamara ya2 ulijifungua kwa opration pia?*
Fe Lady said: Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa. Click to expand... asante dada manaake nikiisi wifi yako,anamimba huaga napata presha.vipi kwamara ya2 ulijifungua kwa opration pia?*